Hivi kweli kumuona Nabii Mussa wa Kimara ni Tsh. 100,000/=?

Wajinga ndio waliwao!

Mama mmoja work mate wangu, nikimwambiaga hawa wanaojiita manabii nyakati hizi wote ni waongo ananibishia!

Anasema nisihukumu watumishi wa Bwana, haya endeleeni kwenda kwa manabii mkapokee uponyaji!
 
Jamani watu wanangamia kwa kutaka wepesi wa mahitaji yao, watu hawanabidii kabisa ktk kumtafuta Mungu, yaani ni kama watu wamebadilisha lifestyle ya kwenda kwa waganga sasa wanatafuta manabii na wakristo wengi wanadhani karama ya unabii ndio kubwa kuliko zote, ndio maana makanjanja nao hujiita nabii maana wanaona wanaheshimiwa na hivo nirahisi kuvuna vya bure kwa watu, chunga sana ulichonacho maana shetani atakuotea.
 
Huyu jamaa ana upiga mwingi
Kuna mchungaji mmj naye yuko kiluvya

Namjua kitambo,mara ya mwisho kumuona

Shav dodo kitambi kinakuja,nlikutana naye ana

Extrail kali tukawa tunaongea mambo ya

Biashara za kidunia,akajitela sasa anataka taili za

Goodrich nkamwambia kuna sehemu zipo za bei

Nafuu za dili,a ifanyike muamala nikazifatilie

Nkampiga 200k,hawa manabii wachungaji

Wajanjajanja wakingiaga kwenye 18 zangu huwa

Nawawashaga

Ova
 
Kuna mchungaji mmj naye yuko kiluvya

Namjua kitambo,mara ya mwisho kumuona

Shav dodo kitambi kinakuja,nlikutana naye ana

Extrail kali tukawa tunaongea mambo ya

Biashara za kidunia,akajitela sasa anataka taili za

Goodrich nkamwambia kuna sehemu zipo za bei

Nafuu za dili,a ifanyike muamala nikazifatilie

Nkampiga 200k,hawa manabii wachungaji

Wajanjajanja wakingiaga kwenye 18 zangu huwa

Nawawashaga

Ova
Hahahahah ulimletea lakini tairi au ndio ulisepa mazima na 800K yake 😂😂😂
 
Dini kama dini ni utapeli kama utapeli mwingine. Mungu wala shetani hawapo.

Dini zinavyopumbaza watu, mkatoliki ataona mlutheri anaibiwa ama mlokole anaibiwa kwa kuchangishwa hela za kuwaona manabii wao, mlokole ataona mkatoliki anaibiwa kwa kununulishwa ama kuuziwa maji ya baraka kwa lazima, kuchangia shule na redio maria kwa lazima, kulipia bima ya padri wakati yeye hana bima, kuomba kw abikra maria badala ya yesu, kutoa pesa za kuombea marehemu nk nk anaibiwa.

Hivyo hivyo msabato taona wote wanaosali jumapilii wanaibiwa kwani musa aliagiza watu kupumzika siku ya saba na wanaosali jumapili wataona wasababto wamechanganyikiwa kwa kusali jumamosi nk nk

Lakini ukiangalia kwa jicho la kawaida tu ni kwamba wote hao wanaibiwa, wote wanatapeliwa na wote ni wajinga.

Hapo sijagusia waislamu. Hapo ni matatizo matupu.
 
Yupo mmoja Morogoro mjini huko Forest, anawafilisi haataariii, halafu wanakufaa, ni mnaijeria anayewaambia ni mteule wa TB aliyeenda kuzimu.

Wadanganyika wake wapo maprof na wafanyabiashara wanaologa.

Yeye anawapa maji tena brand inayoanza na D. Wakaogee, wakadekie, sijui n.k.

Everyday is Saturday.......................:cool:
 
Back
Top Bottom