Je kumbusu mtu mwingine inauhusiano na cheating?

Je kumbusu mtu mwingine inauhusiano na cheating?

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,245
Wana MMU, hiki kitu nimekuwa najiuliza mara kwa mara hasa kw sisi wafrika na tamaduni hii ya kimagharibi. Napenda kufahama hivi kumbusu mtu ambaye mybe class mate, au mtu yeyote wa rika linaloshabiana ni cheating? Napenda kufahamu kutoka kwako sababu kuna kawaida ambayo mybe msichana akiwakuta mpenzi wake na rafiki zake atambusu mpenzi wake na kuwapa mikono rafiki zake.

Kwa mfano upo sehemu punde unamuona mpenzi wako anambusu mtu fulani ila yeye ajakuona, je kunamahusiano yeyote na cheating?


Asante





 
Hilo busu ni la wapi shavuni au mdomoni?Kama ni shavuni halina neno ni salamu tu madhali hakuna hisia zozote kati yenu ila la mdomoni habari nyingineee...
 
define cheating. kwa wengine cheating ni mpaka ugegede (physically) lakini bible inasema ukimtamani tayari umezini (cheat)
 
Kitu chochote ukihisi utamkera Mtu fulani, na wewe hautaki umkere, zaidi kitu hicho kukifanya au kutokifanya hakina faida yoyote kimantiki, Basi ACHANANACHO, HOWEVER HUNAUHAKIKA KAMA KITAMKERA OR NOT!
 
Umbusu ili iweje ? Mikono inatosha! Hugging ntafikiria lakini LIBUSU kwa jinsia tofauti awe klasmet n.k n.k hata liwe la wapi! Sikubaliani nalo!
 
aisee......... ukiona manyonya ujue..........tena hapo kama waafrika ndo ukienda hata kukagua unakuta pana unyevunyevu pamelowana !!
 
ntarudi nikitoka lunch maana hili swali :A S kiss::A S kiss:
 
Wana MMU, hiki kitu nimekuwa najiuliza mara kwa mara hasa kw sisi wafrika na tamaduni hii ya kimagharibi. Napenda kufahama hivi kumbusu mtu ambaye mybe class mate, au mtu yeyote wa rika linaloshabiana ni cheating? Napenda kufahamu kutoka kwako sababu kuna kawaida ambayo mybe msichana akiwakuta mpenzi wake na rafiki zake atambusu mpenzi wake na kuwapa mikono rafiki zake.

Kwa mfano upo sehemu punde unamuona mpenzi wako anambusu mtu fulani ila yeye ajakuona, je kunamahusiano yeyote na cheating?


Asante






sijakuelewa inataka kufanya nini?. je kuna aliye kubusu? au kuna aliye mbusu mtu wako?. wewe busu unalielewaje?. tuanzie hapo kwanza. mia
 
sio mimi sasa,mie nilikua namjibia mtoa mada...,

mie mtu mzima mwenzio

Pole na Samahani Mkuu, nilithani ni hicho kitoto kinachouliza maana ya busu ambacho hakijui kuwa watu tunawbusu Baba, Mama, Dada, watoto, wadogo, marafiki na wapenzi wetu bila shida kutegeana na sehemu ya mwili inayobusiwa.
 
Back
Top Bottom