Je Kuformat Computer mara kwa mara kuna madhara yoyote kwenyw Computer?

Mrimi

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
1,690
625
Naombeni kufahamishwa iwapo kurudia kuformat computer mara kwa mara, let's say mara moja kwa mwezi, kuna tatizo lolote.

Nasikia kuwa inaua hard disc, je kuna ukweli wowote hapo?

Nawasilisha..........
 
ropam

Senior Member
Aug 11, 2010
173
35
Unaua hard disk...kuna errors zinaitwa bad clusters zinadevelop kwenye disk the more u format it..few bad clusters wont harm your drive and u wont notice them lakin zikija kuzidi then u wont be able to write anythng on your drive...in the sense that u wont be able to install or store anythng on your drive! ikifika hiyo stage though...utahitaji kureplace disk but until then, you are safe.
 
Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,287
1,833

Bad clusters hazisababishwi na formating hii sio kweli, formating hard drive ni safe kabisa usiogope (unafuta data of coz!).
 
mzee wa njaa

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
1,366
222
Ukiformat mara nyingi ina madhara sana ila kama mara chache haina tatizo lkn iwe kwa shughuli muhimu.
 
Moseley

Senior Member
Jul 10, 2010
186
89
Naombeni kufahamishwa iwapo kurudia kuformat computer mara kwa mara, let's say mara moja kwa mwezi, kuna tatizo lolote.

Nasikia kuwa inaua hard disc, je kuna ukweli wowote hapo?

Nawasilisha..........

Nimewahi kutumia fedora,w7,xp,ubuntu,centos,redhat.. Na nimekua nikizibadilisha badilisha kila ninapojisikia, kutokana na uhitaji wangu.. Ingekua ina madhara, hardisk yangu ingekua ishaharibika.. Kama madhara yapo basi ni kidogo sana almost to negligible.. Ingawa hardisk zina life time yake pia.. Ila kuhusu kuformat, hakuna madhara..
 
Dumelang

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
3,099
5,011
Tatizo mnajibia UZOEFU na si utaalamu: kwanza tujue HARD DISK huundwa na nini na technlojia gani hapo ndo utaweza jua kuna tatizo au la!
mimi niseme tatizo lipo! kwani technolojia ya HDD (magnetic) si bora zaid ya ile ya CD (optical)

technlojia ya HDD ni sawa na ile ya Floppy Disket au kanda za redio (casset).
sasa ukitaka kuleta mantiki katika hili chukuaredio kaseti na uirecodi kisha futa rekodi tena, rudia mara mbili, tatu. Je! ubora utabaki ule ule?

bila shaka kwa tuliotumia redio caseti mnajua hili basi ndivyo ilivyo HDD formating inaichosha thou uwezi jua kirahisi

Ukitaka thibitisha igeuze iyo HDD kuwa External, then utaona itakavokuwa ina corupse mara kwa mara na kuhitaji kuformat

huu ndo ukweli
 
Dumelang

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
3,099
5,011
Haina madhara.

Tatizo mnajibia UZOEFU na si utaalamu: kwanza tujue HARD DISK huundwa na nini na technlojia gani hapo ndo utaweza jua kuna tatizo au la!
mimi niseme tatizo lipo! kwani technolojia ta HDD (magnetic) si bora zaid ya ile ya CD (optical)

technlojia yaa HDD ni sawa na ile ya Floppy Disket au kanda za redio (casset) sasa ukitaka kuleta mantiki katika hili chukuaredio kaseti na uirecodi kisha futa rekodi tena, rudia mara mbili, tatu. Je! ubora utabaki ule ule?

bila shaka kwa tuliotumia redio caseti mnajua hili basi ndivyo ilivyo HDD formating inaichosha thou uwezi jua kirahisi

Ukitaka thibitisha igeuze iyo HDD kuwa External, then utaona itakavokuwa ina corupse maara kwa mara na kuhitaji kuformat

huu ndo ukweli
 
Mrimi

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
1,690
625
umeifanya daftari la mwandiko ehee !! Jibu umeshalijibu muda mrefu.

Vipi, umetumwa nyang'au wewe?

Umeombwa ushauri, sio unalipuka tu. Kama hujui kitu sio kukurupuka tu. Waachie wataalam wateme maujanja humu.

Kama vipi kakojoe ukalale!
 
Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,287
1,833
Tatizo mnajibia UZOEFU na si utaalamu: kwanza tujue HARD DISK huundwa na nini na technlojia gani hapo ndo utaweza jua kuna tatizo au la!
mimi niseme tatizo lipo! kwani technolojia ta HDD (magnetic) si bora zaid ya ile ya CD (optical)

technlojia yaa HDD ni sawa na ile ya Floppy Disket au kanda za redio (casset) sasa ukitaka kuleta mantiki katika hili chukuaredio kaseti na uirecodi kisha futa rekodi tena, rudia mara mbili, tatu. Je! ubora utabaki ule ule?

bila shaka kwa tuliotumia redio caseti mnajua hili basi ndivyo ilivyo HDD formating inaichosha thou uwezi jua kirahisi

Ukitaka thibitisha igeuze iyo HDD kuwa External, then utaona itakavokuwa ina corupse maara kwa mara na kuhitaji kuformat

huu ndo ukweli

Technolojia ya HDD sio sawa kabisa na tape ndo maana unakosea.

Kwenye tape kila kichwa cha kusoma na kuandika kinagusa tape, hii inasababisha msuguano ambao unasababisha tape/head kuchakaa baada ya matumizi ya muda mrefu.

Kwenye HDD ile head HAIGUSI surface ya disk hata siku moja inaelea juu yake, hivyo hakuna msuguano wowote kati ya head na disk na hakuna uchakavu wowote unaotokana na kuformat.

Kuigeuza HDD kuwa external hakubadilishi lolote zaidi ya connection, kama external zako zinacorrupt inatakuwa unatumia makasha low quality au unazigonga/kuziangusha sana.

Kuformat HD ni safe kabisa msiogope.
 
sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,553
1,277
Reformatting any modern hard disk is no different from normal use of the same amount. You cannot actually lay down any track information. Modern hard drives are formatted at the factory using special connectors or special equipment. When you format a modern hard drive, at most you fill the drive with all zeros and maybe map out some sectors that were discovered to be bad.
You will not wear a hard disk out by reformatting any more than normal use will wear it out.
If you are talking about something extreme like continuously formatting a drive, this should be about the same as any continuous read/write access to the drive. You cannot degrade the magnetic medium in any way by doing this, as long as the drive is adequately cooled. A drive that runs at an extreme temperature will definitely have a degraded lifetime.
SSD drives are a different animal where each write gets you closer to eventual failuresource: How many times can you format a hard-drive? - Server Fault
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom