HadithiZaRuvuly
JF-Expert Member
- Apr 16, 2014
- 369
- 114
- Thread starter
- #41
AhsanteSteve jobs alidrop shule
Lkn amekuwa CEO wa Apple usijali mtoa thread
AhsanteSteve jobs alidrop shule
Lkn amekuwa CEO wa Apple usijali mtoa thread
Kweli.kushindwa kutafuta HELA ndo kufeli Maisha
kweli kabisakushindwa kutafuta HELA ndo kufeli Maisha
Ahsante mkuuuKwenye maisha kuna kitu kinaitwa mipango na katika mipango kuna mda muafaka wa kuipanga, so watanzania wengi tuliaminishwa tangu tukiwa watoto kwamba bila elimu hakuna maisha bora wakati hio pia watu walitumia mda mrefu wakiwa shule na waoisahau habar ya maisha nje ya shule.
Watu wengi wanashtuka baada ya kumaliza na kufeli form 4, 6 au ku disco chuo, yaan hapo tayar kapoteza mipango na mda pia kunyenyuka na kuwa na maisha bora n ndoto ukifikia hatua hyo.
lakini kumbuka juhudi na bidii zako za utafutaji pia zinahitajika,,uwezi fanikiwa kama upo upo yaani aujishugulishi na chochote alafu unasema mungu atanifanikisha wakati wenzako wanapambana na kuzidi kumuomba munguNdg jibu la maisha ya mwanadamu analo Mungu,ufeli shule utaishi tu,ufaulu utaishi tu,kama ipo ipo tu utachelewa kupata lakni utapata