Kuna tofauti kubwa sana kati ya maisha na elimu inga kwa semem fulan vinaingiliana lakin elimu hii ya darasana si kiti cha maingi uwe na civic education na life skills education ambavyo huna haja ya kuingia darasani maana unajifunza ulimwenguni hapa hapa ,elimu ya darasan ni miongoni mwa chachu za kuendeleza maisha lakin lakin haimaanishi ukiikisa basi na maisha umeshindwa si kweli hata kidogo. Elimu ni jambo pana sana ingawa watu wamekalili ukishasema alimu wana focus kwenye GPA na DIVISIONS TU, kitu ambacho si kweli hata elimu ya ufundi nayo ni elimu ,hata kilimo nayo ni elimu,nk