Je, kufeli shule ni kufeli maisha?

Je, kufeli shule ni kufeli maisha?

HadithiZaRuvuly

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2014
Posts
369
Reaction score
114
Nimesikia kauli nyingi zikitamka kwamba ukifeli shule ndio umefeli maisha hivi kauli hii unaichambua vip
 
Kuna mambo mengi ya kujadili ni kweli lakini hivi vingine acha tuwapishe wenye muda wa kufanya hivyo kwa kweli.
 
Ukishindwa shule unakuwa na 50% ya kushinda maisha. Wewe utakuwa tofauti na waliofaulu shule wakidhani "real Job" ni ajira ya kuajiriwa na kipokea mshahara mwisho wa mwezi huku ukiwa na matumaini ya kupandishwa cheo.
 
Kila mtu ana mlango wake wa kutokea, Wengine shule, wengine sio shule... Kila mtu na hatma yake...
 
Back
Top Bottom