Je, kondomu nayo sio plastiki?

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,738
Wizara inayoshugulikia mazingira imepiga marufuku kama mirija ya kunywa juice na vingine.

Ila sasa tunajiuliza tunazuia vipi vitu ambavyo ni pato.

Sawa na sigara na hatari za kiafya.

Watumiaji wa kondomu ni wengi kuliko watumiaji wa bizaa za plastic.

Kwa maana plastic inaweza kurudiwa matumizi kwa matumizi mengine.

Je, condom!
 
Kwa hiyo mzee baba ni nini ushauri wako sasa! Watu walabue peku au watuletee za mbao?
 
Kwaiyo unataka na condom zipigwe marufuku?
ila sasa tunajiuliza tunazuia vipi vitu ambavyo ni pato.
Hapa sijaelewa unamaanisha nini. Kwan condom zenyewe ni bure?

Kuna vitu kuvizuia kunaweza sababisha madhara makubwa zaidi kwenye jamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…