baba anjela
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 431
- 310
Kwanza nilazima tutambue kuwa kila mmoja wetu ni kiongozi katika nafasi aliyopo.. utofauti unakuja kwenye...
1. Aina ya uongozi
2. Aina ya watu unaowaongoza
3. Njia za upatikanaji wa uongozi wako.
4. Mazingira yanayozunguka uongozi wako.
5. Aina ya dhamana uliyoibeba kwa unawaongoza.
Nimeainisha hivi ilituweze kutambua kuna aina ya viongozi kauli zao zikitoka basi katika vichwa vya waongozwaji inageuka kuwa sheria au misingi ya kufatwa bila kupindishwa.
Kiongozi wa aina hii anapokwenda kinyume na kauli zake naweza kujifunza mambo yafuayayo.
1. Mwoga na hajiamini hivyo anatumia kauli kama njia ya kuogopesha wale anaowaongoza.
2. Mpendasifa....uongea kwaajili ya kufurahisha watu flani...au ili wamshangilie bila kutathimini maneno yake.
3. Mnafiki..siyo kiongozi wa kuunganisha wenzake walioko chini yake...sikiongozi wakufata ushauri wake hasa wale anaofanyanao kazi...anawezaa kukugeuka.
4. Dalili za kushindwa...hii inaonyesha maji yameanza kufika shingoni...
5. Hashauriki....hii ni aina za viongozi wasio shaurika...wana ubinafsi hata katika maamuzi.
5. ameanza kujitambua... uwenda amekaa akaona mmmm....hapa nachemka ngoja nibadilike....
Wewe je umejifunza nini kama kiongozi wa sasa au wa kesho.?