Iko hivi mkuu,
Biblia au maandiko yote ya kiroho ukisema utumie Akili utakwama,
Biblia kama yalivyo maandiko mengine ya kidini inatakiwa ukubali tu yasemavyo, usiwe mtu wa kuhoji,
maana vimejaa uongo uongo.
Mimi binafsi tangia nikiwa mdogo miaka 15 hivi niliweka kwenye mizani mafundisho ninayofundishwa kwenye nyumba ya ibada na uhalisia ambao nauona kwenye maisha na mazingira niliyopo,
Niliona Mungu mlinzi hayupo, mazingira ambayo upo ndiyo yataamua usalama wako na hatima ya maisha Yako.