Je Kinana ni jangili?

Je Kinana ni jangili?

Status
Not open for further replies.

wikiliks

Member
Joined
Dec 15, 2012
Posts
84
Reaction score
27
ndugu zangu wanajamvi muda mchache umepita tangu tulipopata taarifa za kukamatwa kwa meno ya tembo na pembe zikiwa zimebebwa kwenye meli iliyozaniwa inamilikiwa na abdulrahman kinana katibu mkuu wa ccm na kwa bahati nzuri akakiri kwamba meli ni yake. je unaweza kusema kwamba kinana siyo jangili? na kama ni jangili je ni kwa nini dola isichukue mkondo wake? je polisi kumkamata ni hadi wakamuulize nani? mwizi wa kuku = kiberiti jangili= upepo wa kisiasa tu mshkaji. naombeni maoni yenu bila kumung`unya maneno.
 
mtu kaniinbox`ni jangili tena kwa nchi za wenzetu kama china angepaswa kunyongwa
lkn kwa hapa kwetu dola ipo kuwalinda majangili na wanyonyaji wa rasilimali zetu......sheria haifuati mkondo wako,vyombo vya dola vinawalea kila cku ni kuwaficha........
 
Kwenye serikali ya CCM mwenye pesa ndo huthaminiwa. Masikini hana chake.
 
ndugu zangu wanajamvi muda mchache umepita tangu tulipopata taarifa za kukamatwa kwa meno ya tembo na pembe zikiwa zimebebwa kwenye meli iliyozaniwa inamilikiwa na abdulrahman kinana katibu mkuu wa ccm na kwa bahati nzuri akakiri kwamba meli ni yake. je unaweza kusema kwamba kinana siyo jangili? na kama ni jangili je ni kwa nini dola isichukue mkondo wake? je polisi kumkamata ni hadi wakamuulize nani? mwizi wa kuku = kiberiti jangili= upepo wa kisiasa tu mshkaji. naombeni maoni yenu bila kumung`unya maneno.

Unapotosha.

Meli siyo ya Kinana, ila Kinana ana hisa katika kampuli ya wakala wa meli (shipping agents) iliyopakia mzigo husika.
 
Ndio mleta mada,mzigo wenyewe ulonaswa ni huu... tusks-722224[1].JPG
 
pengine anatoa mchango mkubwa sana katika kufanikiasha vikao vya chama!
 
Unapotosha.

Meli siyo ya Kinana, ila Kinana ana hisa katika kampuli ya wakala wa meli (shipping agents) iliyopakia mzigo husika.

Toa upumbafu wako hapa na usituhudhi, nyie mnaotetea watu wanaotutia dhidi mnafaa kunyongwa tu kama ayo mabwana yenu majizi, kinana ni jangili tena la kutupwa na limekili lenyewe
 
Mimi naona ni lijangiri ila kama yeye anakana aje ajitokeze authibitishie umma kuwa yeye sio jangili, utetezi aloutoa hapo awali, haukutosha kumsafisha, mana ilikuwa either akiri kuhusika au alternatively akiri kuwa yeye ni mkwepa kodi mana ule mzigo inaoenesha TRA hakakuutoza kodi na kama waliutoza kodi basi mfanya tax valuation ya huo mzigo ilibidi muda huu tunaoongea awe anapumulia Segerea au Keko. Yote haya hayajafanyika hadi sasa, lituhumiwa Linadunda kwenye majukwaa ya sias, maafisa wa TRA waloruhusu mzigo kupakiwa kwenye meli wanazunguka kwenye viti ofisin had leo katika hali kama hiyo kwann tusiseme huu mzigo wa meno ni wa Kinana na wakubwa wenzake????? Hili ni la kuburuta kortini tu. Kina Nape badala ya kuongelea ishu za hivi wao wanang'ang'ana na kadi, wachumia tumbo bana!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Toa upumbafu wako hapa na usituhudhi, nyie mnaotetea watu wanaotutia dhidi mnafaa kunyongwa tu kama ayo mabwana yenu majizi, kinana ni jangili tena la kutupwa na limekili lenyewe

Kashorobana, twende taratibu.

Mzigo kutoka bandari A mpaka bandari B kuna wahusika wafuatao a)Mwenye mzigo (aliyeununua/anayeusafirisha-consigner ), b)wakala wa meli/chombo cha kusafirisha mzigo, c)meli/chombo cha kusafirisha na mwakilishi wa mmiliki wa hicho chombo/meli, d) Mpokea mzigo (consignee).
Mpaka sasa Kinana amekiri kuwa mwenye hisa katika (b).
Kutokana na maelezo yangu hapa naomba unielimishe ni wapi nimetoa upumbavu.
 
Nikiongea nita baniwa naogopa! ee Mungu waumbue mmoja baada ya mwingine ili mradi ni mwanadamu uliyemhesabia siku chache za kuishi hapa duniani.
 
Mpitishe hifadhini uone tembo watakavyokimbia
 
Unapotosha.

Meli siyo ya Kinana, ila Kinana ana hisa katika kampuli ya wakala wa meli (shipping agents) iliyopakia mzigo husika.

Adili so unamsafisha au unarekebisha rekods
 
Last edited by a moderator:
Adili so unamsafisha au unarekebisha rekods

Both kwa kuwa details tulizonazo mpaka sasa hatujauona ujangili. Sidhani kama mwenye hisa kwenye kampuni ya wakala wa meli lazima ashinde bandarini akikagua ni mzigo gani kampuni yake imepakia. Pili kama wanaosema Kinana anamiliki meli iliyosafirisha mizigo basi nawatuletee jina la meli, tutacheck na Lloyds register kujua ukweli huo.
Let us keep the records straight.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom