Je kilichomtokea Mbunge Mtishiwaji Kuuwawa Bungeni hakiwezi kuwa ni Hitimisho kwamba wanaoajirwa huko baadhi yao...!

1. Hawana Maadili na hiyo Kazi
2. Wanapenda Sifa
3. Hawana pia Busara za Kimalezi
4. Ushamba unawasumbua
5. Wameajiriwa kwa Mgongo wa Wazazi, Ndugu, Jamaa na Marafiki
6. Wanatumika / Wanatumiwa Kinyume na utaratibu wa Majukumu yao
7. Kichwani zimepungua kidogo kama siyo sana

Nawasilisha.
Naunga mkono hoja, pia ni washenzi wa tabia. Neno 'nitakuua' ni kosa la jinai na katika mahakama zetu ni kifungo kabisa.
 
1. Hawana Maadili na hiyo Kazi
2. Wanapenda Sifa
3. Hawana pia Busara za Kimalezi
4. Ushamba unawasumbua
5. Wameajiriwa kwa Mgongo wa Wazazi, Ndugu, Jamaa na Marafiki
6. Wanatumika / Wanatumiwa Kinyume na utaratibu wa Majukumu yao
7. Kichwani zimepungua kidogo kama siyo sana

Nawasilisha.
Una uhakika wa taarifa za mtishiwaji
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Uliwakosea heshima na kudharau imani yao waumini wa kanisa la Kakobe!

Na Wewe unasali Kwake? Basi sikushangai na nimeshajua kwanini ulinitukana vile. Duniani Madhehebu ya Kikristo ya Watu makini ni haya manne tu nayataja hapa:

1. Roman Catholic
2. Lutheran
3. Anglican
4. Orthodox

Bisha uzidi ' Kudharaulika ' na wenye akili zao. Nisalimie sana Askofu Kakobe na niulizie Kwake Pasipoti yake amesharudishiwa? Je lile Deni lake ameshalimaliza? Na je baada ya Kurudi / Kurejea Kundini je upanuzi wa barabara ambao kwa ramani unahusisha hata lilipo Kanisa lake bado upo pale pale au ndiyo umemalizika rasmi?
 
Nadhani mpaka hapo unatambua nguvu ya imani kuwa ni kubwa kuliko risasi!
 
Hawana Maadili na hiyo Kazi
2. Wanapenda Sifa
3. Hawana pia Busara za Kimalezi
4. Ushamba unawasumbua
5. Wameajiriwa kwa Mgongo wa Wazazi, Ndugu, Jamaa na Marafiki
6. Wanatumika / Wanatumiwa Kinyume na utaratibu wa Majukumu yao
7. Kichwani zimepungua kidogo kama siyo sana

Mfano mzuri wa hawa walioajiriwa bila sifa ni yule anayejidai kuwa MWANAHARAKATI HURU ajulikanae kwa jina la MUSIBA!!
 
1. Hawana Maadili na hiyo Kazi
2. Wanapenda Sifa
3. Hawana pia Busara za Kimalezi
4. Ushamba unawasumbua
5. Wameajiriwa kwa Mgongo wa Wazazi, Ndugu, Jamaa na Marafiki
6. Wanatumika / Wanatumiwa Kinyume na utaratibu wa Majukumu yao
7. Kichwani zimepungua kidogo kama siyo sana

Nawasilisha.
unazunguka tu......sema tu wanatumwa na ccm basi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom