Je, Kikwete ni Msafi?

Je, Kikwete ni Msafi?

Kahangwa umedata,


I did not like Kikwete from the get go, but he had a chance to redeem himself.Kikwete has lost all credibility when...

1.He chose not to make public the EPA report

2.He refused to accept the Americans offer to extradite Balali

3.He appointed Balalis number two to replace him at BOT

4.He reappointed fraudsters like Mathayo, Mkullo, Nchimbi and other to cabinet positions

The list is so long....
 
pundit,
Naamini hata katika kudata kwangu umenielewa sana. Usiishangae hiyo lugha,waliojifunza fasihi wanajua ilivyo na uwezo wa kuwapoza watu machungu. Kama uko nje ya nchi piga simu nyumbani wakueleze maisha yalivyo magumu kupita ugumu wenyewe. vile vile ukisoma comments za watu hapa unauhisi huo uchungu wa ugumu wa maisha ambao haukutarajiwa chini ya utawala wa mtu aliyeanidi Tanzania yenye neema.
 
Hapana.
...Inabidi tuanze kuamini kuwa Kikwete sio safi.
Dalili zimeanza kuwa wazi kuwa Kikwete sio safi hata kidogo.
.....watu wahitimishe kivyao - Kikwete si safi.
Wakuu neno 'SAFI' ni neno kubwa sana, uwigo wake ni mpana sana! sasa Tunavyo sema Fulani ni Safi/si-Safi sijui tuna tumia Vigezo gani kutathmini hoja hii.
Je?; twazungumzia usafi wa Mwili au Maumbile?,'Tabia au Matendo?'
**tusisahau,Kuna-tuliyo mchagua kwa kuzingatia vigezo hivi ati!.

Je?;twazungumzia Usafi(Ubora),Wasifu wa mtu Kabla/Baada ya kuwa Mtawala Mkuu wa Nchi?
**Amekuwa Ktk Fani Hii kwa Kipindi sasa!mtakumbuka lile Kundi maarufu kabisa la 'The BoyzIIMen',na istoshe kwa wale wengi ambao hatukufahamu undani wa kundi hili Machachari,Marehemu Babu alipata kulisemea kundi hili waziwazi,lakini tukaudharau WOSIA wake na kung'ang'ania HISIA zetu!,na nnaelekea kufikiri Wa-Tz watakuwa makini kidogo 2010,otherwise 'it's a little too late' kuanza kujadili Usafi/Uchafu wa Mtu huyu.
 
Its not too late to discuss 'usafi'. Better late than never. Ikumbukwe kuna 2010 hivyo lazima tuongee ili atusikie, asipotusikia tumpige chini. Mimi binafsi sina chuki na rais Kikwete ingawa sikumfagilia toka mwanzo, ukweli nilimpigia kura kwa sababu tu sikumwaona aliyejitokeza aliyekua bora kuliko yeye. Kikwete kwa sasa kachafuka either kwa yeye kuingia topeni au kwa kumbeba mtoto aliyeingia topeni. Kama anakisikia kilio cha mtanzania afue nguo hizo zenye tope ndipo arudi kifua mbele, jinsi ya kujisafisha home work yake kwani Nyerere alisema ikulu si mahali pa kukimbilia ,ikulu si lelemama, ikulu haina washkaji wala undugu. Ukiendekeza hayo uwapo ikulu lazima ikumeze.

Ili tuone rais wetu kajisafisha lazima maisha yetu yaboreke, umeme uwe wa uhakika ,mikataba yote mibovu ifutwe, walaji wanaoiingiza serikali kwenye ufisadi waondolewe kwenye serikali na chama. Kila wizara itimize wajibu wake ipasavyo. Mfano wizara ya elimu ihakikishe wanafunzi wote waliofaulu kidato cha nne wanaingia kidato cha tano hata kama ni kwa kutumia fedha anazosafiria rais na mawaziri wake nje ya nchi. Lazima asacrifice kitu kikubwa ili turudishe imani kwake. Bila ya hivyo 2010 sijui? Kenya tumeiona hatupendi ile...................Tafadhali mheshimiwa inusuru nchi yetu na roho za watu wake.
 
Kikwete yumo kwenye LIST OF SHAME,jina lake limetuliaaa.
Natambua kwa dhati kwamba Fisadi mmoja katika List ile yuko chini 10 bado wanadunda.

Wewe huoni kwamba tuna Home Work ya kutufanya Tisilale mpaka 2010????????

Wakati wa kuanza kumjadiri Rais kama mmoja wa mafisadi ndo huu.

Wewe kama unapinga hoja hii anzisha vita ya kuliondoa jina la Kikwete kwenye LIST OF SHAME.

Viongozi wote wa SISIEMU ikiwa ni pamoja na msuli wote wa chama wameshindwa kujenga hoja ya msingi na kuiweka mbele ya wananchi ili kuliondoa jina la MH Kikwe kwenye LIST OF SHAME. Hii ina maana wananchi tuko huru kumchambua vile tupendevyo pale Trail zote zinukazo ufisadi zimlengapo yeye MH Kikwete.

Wakati wa Rais kuwa Mtukufu naona umekwisha au umejimaliza wenyewe. Kilichobakia sasa ni kuondoa vifungu vya mabaki ya katiba ya Sir Richard Turnbull kwenye katiba yetu ili asiweko mtu ambaye yuko juu ya sheria.

Mbona umelala wewe! madela wa mdilu?

watu wanataka Kikwete aingie tena madarakani!

wanaadika nakala za kumsifu JK, amka

tuna miezi michache,, kama tutashindwa kuiondoa CCM, kuna misitu mingi tu
 
Back
Top Bottom