mwanaone
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 637
- 760
Kwa tafsiri yangu ya haraka haraka neno DHAIFU lina maana kuwa ni kutoweza kufanya jambo linavyotakiwa au chini ya kiwango. mfano kutokuweza kufanya kazi inavyotakiwa, kutokuweza kusimamia ukweli, kutokuweza kumwambia mtu ukweli pia ni UDHAIFU.
Tukija katika udhaifu wa kiuongozi kwa tafsiri yangu.
KIONGOZI DHAIFU NI :
1. Yule asiyeweza kusimamia vyema majukumu yake
2. Yule asiyeweza kusimamia vyema sheria za nchi na katiba ya nchi yetu
3. Kiongozi DHAIFU ni yule ambaye anaweza kutekwa na mapenzi ya urafiki au ya undugu na kusahau kutekeleza wajibu wake kama kiongozi ili kutumuuzi yule anayempenda.
Sasa hapa ningependa tulinganishe udhaifu wa MAGUFULI na KIKWETE ktk UONGOZI na sio ktk maendeleo kwani ktk MAENDELEO hata ikiwa KATIBA itabadilishwa na MAGUFULI kupewa MIAKA 20 ya kuwa RAIS hawezi kufikia hata ROBO ya MAFANIKIO YA KIKWETE.
KWAHIYO tufanye ulinganisho ktk udhaifu ktk uongozi.
Mimi binafsi ninavyoona tukija ktk udhaifu wa kiuongozi MAGUFULI anamuacha KIKWTE kwa mbali. MH kikwete tunaona jinsi gani alivyoweza kuachia Bunge kuhusu suala la LOWASSA japo ukweli alikuwa anaujua. lakini akaweza kushinda UDHAIFU WA MAPENZI YA URAFIKI na kuamua kufata maamuzi ya wengi kwa MASLAHI YA TAIFA.
Tumeona pia kwa shingo upande KIKWETE alipoamua kumuondoa ANNE TIBAIJUKA ili kuondoa sintofahamu na kulinda TAASISI YA URAIS. N,K
Sasa tukija kwa mh MAGUFULI yeye anashindwa kumchukulia hatua MKUU WA MKOA TU ? Na ikiwa anaona hajafanya kosa basi unda tume huru ili hili suala liishe, lakini kutokana na UDHAIFU WA MAPENZI YAKE KWA MAKONDA hawezi.