Je Kijiji hiki ndio asili la jina? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Kijiji hiki ndio asili la jina?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Malunde, Nov 7, 2011.

 1. M

  Malunde JF-Expert Member

  #1
  Nov 7, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 311
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  IMG_8867.JPG IMG_8880.JPG
   
 2. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #2
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Wafipa wanasema 'Mmaanyi" yaani sijui
   
 3. MGAWARIZIKI

  MGAWARIZIKI JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 306
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Pia kuna kijiji kipo anga za Iringa huko kinaitwa IBANYA VANU sijui nacho ni asili ya jina
   
 4. M

  Malunde JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 311
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Mgawariziki, nakubaliana na wewe IBANYA VANU nacho kina asili ya jina lake. Najua unafahamu kuwa mimi nauluiza juu ya Tanganyika, niambie kama unajua.
   
 5. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #5
  Nov 7, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Pia kuna kijiji kingine kinaitwa TANGANYIKA MASATI kwa wanatoka Kilombero nakijua...lol kweli bado ni Tanganyika huko
   
 6. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #6
  Nov 7, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,367
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  Kibantu

  TANGA=First/mwanzo
  NYIKA= nchi/pori nk

  TANGANYIKA=FIRSTCOUNTRY (NCHI YA MWANZO)
   
 7. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #7
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,036
  Likes Received: 749
  Trophy Points: 280
 8. Nebisirwe

  Nebisirwe Senior Member

  #8
  Nov 7, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  no comment
   
 9. Buggy

  Buggy JF-Expert Member

  #9
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 239
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Oohh Kumbe ndio tafsiri ya Tanganyika!!! Nilifikiri maana yake ni:
  TANGA-Angaika
  NYIKA-Porini
   
 10. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #10
  Nov 7, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,374
  Likes Received: 3,211
  Trophy Points: 280
  Kwahiyo kirefu chake ni "Hangaika porini"
   
 11. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #11
  Nov 8, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  Kwani kipo wapi hiki kijiji? Navyofahamu mimi hata maghribi mwa ziwa Tanganyika kuna wilaya inaitwa Tanganyika, ipo jimbo la Katanga kama sikosei....
   
 12. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #12
  Nov 8, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,429
  Likes Received: 3,792
  Trophy Points: 280
  na hili la Itutu Kigi..?
   
 13. yangoma

  yangoma Member

  #13
  Nov 8, 2011
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukitoka hapo unaingha mkanyageni
   
 14. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #14
  Nov 8, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ukiwa unaenda huko, unapanda Bus pale Ngegezi unapita Matombo mpaka Kunduchi unavuka bahari unatua Makunduchi unaelekea Mchamba wima safari inaendelea .....!
   
 15. George Kahangwa

  George Kahangwa Verified User

  #15
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 18, 2007
  Messages: 539
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Swali lako litajibiwa vizuri ukitafuta kujua decentralization ya elimu ilivyofanyika Tanzania miaka ya hivi karibuni
   
 16. George Kahangwa

  George Kahangwa Verified User

  #16
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 18, 2007
  Messages: 539
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Utafiti mzuri wa asili ya hili jina ukifanyika karibu na ziwa Tanganyika, yamkini majibu yaweza patikana. Kuna baadhi ya wenyeji wa maeneo yaliyoko karibu na ziwa hili wanadai Tanga, na Nyika ni majina ya samaki. Aidha ukienda upande wa Congo, ziwa hili huitwa Tanganika. Na tunaposoma maandishi ya akina Henry Stanley waliotembelea maeneo ya hili ziwa kabla ya ukoloni (miaka ya 1800), wanatumia neno Tanganika. Maandishi yao ndio yalitumiwa na wakoloni kuibatiza nchi yetu jina la Tanganyika.
   
 17. Cathode Rays

  Cathode Rays JF-Expert Member

  #17
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,736
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  hahahaaaaaaaa, haya bwana
   
 18. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #18
  Nov 8, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  sidhani
   
Loading...