Kimwaga Ahad New Member May 23, 2017 4 1 Jun 10, 2017 #1 Samhnini ndg zang ngependa kuulza kwa mwenye uzoefu na shule tajwa hapo juu je inamichepuo ya sayansi??? Pia ni ya mchanganyiko au ni ya wavulana tuuu??? Naomben msaada wenu!!
Samhnini ndg zang ngependa kuulza kwa mwenye uzoefu na shule tajwa hapo juu je inamichepuo ya sayansi??? Pia ni ya mchanganyiko au ni ya wavulana tuuu??? Naomben msaada wenu!!
Kimwaga Ahad New Member May 23, 2017 4 1 Jun 10, 2017 Thread starter #5 Na vipi ina o level au n advance 2
mojave JF-Expert Member Apr 30, 2016 5,564 6,403 Jun 11, 2017 #6 Kimwaga Ahad said: Na vipi ina o level au n advance 2 Click to expand... Ebu nenda google ujiridhishe.
Kimwaga Ahad said: Na vipi ina o level au n advance 2 Click to expand... Ebu nenda google ujiridhishe.
Octaman Senior Member Aug 10, 2016 153 111 Jun 11, 2017 #8 Shule iko poa sana. Advance tu wanapiga msuri hatariii. Hakuna shule za mademu za karibu. Iko msituni juu ya mlima msuri sanaaaa
Shule iko poa sana. Advance tu wanapiga msuri hatariii. Hakuna shule za mademu za karibu. Iko msituni juu ya mlima msuri sanaaaa
J Juanfrani New Member May 23, 2017 3 4 Jun 11, 2017 #9 Advance tupu HYOOO NENDA KASONGOKEEEE MOJA YA SHULE KONGWE PIA
Kanungila Karim JF-Expert Member Apr 29, 2016 20,744 25,447 Jun 11, 2017 #11 Octaman said: Shule iko poa sana. Advance tu wanapiga msuri hatariii. Hakuna shule za mademu za karibu. Iko msituni juu ya mlima msuri sanaaaa Click to expand... Ya serikali au private?
Octaman said: Shule iko poa sana. Advance tu wanapiga msuri hatariii. Hakuna shule za mademu za karibu. Iko msituni juu ya mlima msuri sanaaaa Click to expand... Ya serikali au private?
M MZEE RAZA JF-Expert Member Feb 19, 2015 3,438 2,404 Jun 11, 2017 #13 Kimwaga Ahad said: Samhnini ndg zang ngependa kuulza kwa mwenye uzoefu na shule tajwa hapo juu je inamichepuo ya sayansi??? Pia ni ya mchanganyiko au ni ya wavulana tuuu??? Naomben msaada wenu!! Click to expand... Shule ipo kigoma town, kilometa chache toka stand ya mabasi na station ya treni. Kwa sasa ni A level tupu tena boys. Wanafaulu vizuri sana, kuna HGK, HGL, HGE bila Shaka na HKL, sayansi sijui km wameanzisha, Ipo Karibu na ufukwe wa bangwe beach, Fulu migebuka na dagaa wa kigoma kwa mawese.
Kimwaga Ahad said: Samhnini ndg zang ngependa kuulza kwa mwenye uzoefu na shule tajwa hapo juu je inamichepuo ya sayansi??? Pia ni ya mchanganyiko au ni ya wavulana tuuu??? Naomben msaada wenu!! Click to expand... Shule ipo kigoma town, kilometa chache toka stand ya mabasi na station ya treni. Kwa sasa ni A level tupu tena boys. Wanafaulu vizuri sana, kuna HGK, HGL, HGE bila Shaka na HKL, sayansi sijui km wameanzisha, Ipo Karibu na ufukwe wa bangwe beach, Fulu migebuka na dagaa wa kigoma kwa mawese.
M MZEE RAZA JF-Expert Member Feb 19, 2015 3,438 2,404 Jun 11, 2017 #14 Kimwaga Ahad said: Nashukuruuuuuyn xaaanaaa Click to expand... Umechaguliwa kombi gani