Je, katika hali hii mimba inaweza kuwa ya nani?

Abraham Lincolnn

JF-Expert Member
Apr 12, 2018
2,515
4,230
Habari wakuu,

Naomba kuuliza swali moja, Endapo mwanamke atakutana na mwanaume kati ya siku ya 11,12,13 au 14 Na kisha siku ya 15 na 16 akakutana na mwanaume mwingine, yupi ana uwezekano mkubwa wa kuwa mhusika wa mimba?

Ahsante
 
Mwanamke anajua kwani baada ya tendo la ndoa kuna hisia anayosikia kuonyesha yai na shahawa zimeungana. Ndio maana siri ya baba wa mtoto anayo mama. Labda DNA ifanye kazi.
 
Mwanamke anajua kwani baada ya tendo la ndoa kuna hisia anayosikia kuonyesha yai na shahawa zimeungana. Ndio maana siri ya baba wa mtoto anayo mama. Labda DNA ifanye kazi.
Yai na shahawa sio lazima viungane siku hiyo hiyo ya tendo la ndoa! Anaweza kutana siku tatu kabla namuungano ukatokea siku ya ovulation
 
Ila mwanamke mjanja anajua kalenda yake, na atajua ni nani alikutana nae wakati wa siku yenyewe.
 
Nimesahau! Hivi shahawa zinakaa mda gani kabla ya kufa? From the time of ejaculation. Najua x anakufa mapema kuliko y
 
Nimesahau! Hivi shahawa zinakaa mda gani kabla ya kufa? From the time of ejaculation. Najua x anakufa mapema kuliko y
Inasemekana kuanzia 3-5 pia Y anakufa mapema kuliko X japo sina uhakika sana ila ngoja wajuvi waje watufafanulie vizuri
 
Back
Top Bottom