jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,053
- 28,245
Narudisha swali hili kwa wanaChadema kindakindaki ....!!
Je muda wa kutangaza nia za kugombea urais ndani ya Chama umefunguliwa?
Nauliza hivi kwa kuwa kuna mwanachama aloyetangaza nia akiwa kwa wakoloni wetu ikiwa ni mara ya kwanza katika historia ya Chadema kwa mwanachama wake kutangaza nia akiwa nje ya nchi na mapema kabla hhata mchakato wa jambo hilo kuanza ndani ya chama chake.
Je fursa za wanachadema wengine kugombea urais ndio zimefungwa rasmi?
Iko wapi demokrasia ndani ya Chadema?