Je, Kanisa la Ufufuo pale Ubungo TANESCO bado linatoa huduma ya ufufuaji kwa waliokufa?

Sir robby

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
2,400
4,074
Wadau kuna KANISA KUBWA la Mabati pale Ubungo jirani na Ghorofa za TANESCO LIMEANDIKWA Kanisa la UFUFUO. Miaka ya Nyuma NASIKIA lilikuwa linatoa HUDUMA ya KUFUFUA Watu WALIOKUFA je Bado linatoa HUDUMA hiyo au Limeacha? Mwenye Taarifa atujuze.
 
Wadau kuna KANISA KUBWA la Mabati pale Ubungo jirani na Ghorofa za TANESCO LIMEANDIKWA Kanisa la UFUFUO. Miaka ya Nyuma NASIKIA lilikuwa linatoa HUDUMA ya KUFUFUA Watu WALIOKUFA je Bado linatoa HUDUMA hiyo au Limeacha?Mwenye Taarifa atujuze.
Wana ufufuo popote mlipo mfanye kama mnajikuna tuwaone tasafali,na mlijibu swali la mdau🤔
 
Wadau kuna KANISA KUBWA la Mabati pale Ubungo jirani na Ghorofa za TANESCO LIMEANDIKWA Kanisa la UFUFUO. Miaka ya Nyuma NASIKIA lilikuwa linatoa HUDUMA ya KUFUFUA Watu WALIOKUFA je Bado linatoa HUDUMA hiyo au Limeacha?Mwenye Taarifa atujuze.
Nadhani alikuwa Gwajima yule anafufua watu.
In fact nilikwenda nikaongea naye face to face.(Kuna mtu alinipeleka backstage)
Akasema tupange siku tuongee lakini sikurudi tena.
 
Alishamaliza wakati wake now anakula pension tu.

Hata huyu wa sasa tunza muda tu, anakuja njia ile ile aliyotumia yule wa hapo Tanesco.
 
Gwajima ametrend Leo MZA.

Ametoa HOJA nzito, amefanikiwa kusafisha harufu mbaya aliyoiacha Mbowe jukwaani.

Hoja za Gwajima zijibiwe au kuungwa mkono.

Au nawe ni mmoja wa watu alowaita Gwajima wasio na akili ndani ya CCM wenye Kutoa majibu ya kipuuzi juu ya mfumuko Bei za Bidhaa?
 
Wadau kuna KANISA KUBWA la Mabati pale Ubungo jirani na Ghorofa za TANESCO LIMEANDIKWA Kanisa la UFUFUO. Miaka ya Nyuma NASIKIA lilikuwa linatoa HUDUMA ya KUFUFUA Watu WALIOKUFA je Bado linatoa HUDUMA hiyo au Limeacha?Mwenye Taarifa atujuze.

Sir robby unataka kufufuka?
Anayefufua ni Mungu sio mtu
 
Wadau kuna KANISA KUBWA la Mabati pale Ubungo jirani na Ghorofa za TANESCO LIMEANDIKWA Kanisa la UFUFUO. Miaka ya Nyuma NASIKIA lilikuwa linatoa HUDUMA ya KUFUFUA Watu WALIOKUFA je Bado linatoa HUDUMA hiyo au Limeacha?Mwenye Taarifa atujuze.
Wanafufua watu au akili? 🤣
 
Back
Top Bottom