Hawa ni wasaka sadaka. FPCT nao walikuwa na mkutano hapo Dodoma wiki iliyopita ila naona wao wameamua kuukwepa huo mtego wa MATAGA. Once ukishakuwa upande wa waovu nawe mi muovu tuuu.Leo Mh Rais amepewa tuzo na kanisa ambalo enzi za Lina Lazaro na Mzee Klora lilikuwa ni kanisa ambalo lilitela matumaini.
Sipingi kumpa tuzo lakini naangalia hotuba ya Askofu mkuu Bwana Mtokambali kwa kuamua kuwa sehemu ya praise timu bila kuangazia mambo ambayo katika jamii yamezorota kuliko vipindi vyote vya urais wa nchi hii.
1. Watu kupigwa risasi
2. Watu kupotea
3. Kutekwa na kuteswa
4. Kuokotwa mitaani na kwenye fukwe za baharini
Mambo hayo ndiyo kanisa lilitakiwa kuwa jicho. Hakuna nabii kwenye Biblia aliye heka na mfalme mwovu.
Tanzania Assemblies of God, mmepotoka!
View attachment 1536928
Kweli kabisa kanisa la TAG lime jidhalilisha kabisa,limefichua uchi wakeLeo Mh Rais amepewa tuzo na kanisa ambalo enzi za Lina Lazaro na Mzee Klora lilikuwa ni kanisa ambalo lilitela matumaini.
Sipingi kumpa tuzo lakini naangalia hotuba ya Askofu mkuu Bwana Mtokambali kwa kuamua kuwa sehemu ya praise timu bila kuangazia mambo ambayo katika jamii yamezorota kuliko vipindi vyote vya urais wa nchi hii.
1. Watu kupigwa risasi
2. Watu kupotea
3. Kutekwa na kuteswa
4. Kuokotwa mitaani na kwenye fukwe za baharini
Mambo hayo ndiyo kanisa lilitakiwa kuwa jicho. Hakuna nabii kwenye Biblia aliye heka na mfalme mwovu.
Tanzania Assemblies of God, mmepotoka!
View attachment 1536928
Hahaha mtu ambaye hakushinda 2015 alitangazwa mshindi bila ridhaa, anatokaje kwa MunguUongozi wowote duniani unatoka kwa Mungu. Uongozi wa Rais Magufuli unatoka kwa Mungu. Kama wewe unafikiri uongozi unatoka Ubeleji, subiri uone.
TUKUTANE OKTOBA 28!
Mungu mkubwa, SHETANI umekubali yaishe!Nahamia Rc jpili mchungaji wangu wa TAG MGM nimeamua kuhamia Rc rasmi kuanzia jpili hii kwa helini na kanisa lenu
afadhali, wale wanena kwa lugha ni wahuni. Hivi atrocities alizozifanya Jiwe hawazioni.Namaanisha hao wanena kwa lugha,mleta mada yuko sawa sawia
TAG hawajielewi, wanajua kujipendekeza kwa kaisali, unampaje tuzo binadamu ambaye anawatukana wanawake kila kukicha???? unampaje tuzo binadamu ambaye kwa miaka yote amewanyanyasa raia wa nchi yake ambao ndiyo waumini wenu??? Hizi taasisi za kidini zimegeuka kuwa waimba mapambio ya jiwe.
Wanaogopa wakikosea watashughulikiwaafadhali, wale wanena kwa lugha ni wahuni. Hivi atrocities alizozifanya Jiwe hawazioni.
Anayewatukana wanawake ni Lissu anaetaka kutunga sheria ziruhusu USHOGA ili wanawake mkose haki zenu za ndoa!TAG hawajielewi, wanajua kujipendekeza kwa kaisali, unampaje tuzo binadamu ambaye anawatukana wanawake kila kukicha???? unampaje tuzo binadamu ambaye kwa miaka yote amewanyanyasa raia wa nchi yake ambao ndiyo waumini wenu??? Hizi taasisi za kidini zimegeuka kuwa waimba mapambio ya jiwe.
Umenikumbusha Jimbo la busanda na bukombe mkoa wa Geitahaya makanisa ya kilokole na BAKWATA ni kama Kulwa na Dotto!
Wanaounga juhudi ni hao Maaskofu wanaokusanya sadaka za waumini , lakini waumini wote kura zao ziko kibindoniLeo Mh Rais amepewa tuzo na kanisa ambalo enzi za Lina Lazaro na Mzee Klora lilikuwa ni kanisa ambalo lilitela matumaini.
Sipingi kumpa tuzo lakini naangalia hotuba ya Askofu mkuu Bwana Mtokambali kwa kuamua kuwa sehemu ya praise timu bila kuangazia mambo ambayo katika jamii yamezorota kuliko vipindi vyote vya urais wa nchi hii.
1. Watu kupigwa risasi
2. Watu kupotea
3. Kutekwa na kuteswa
4. Kuokotwa mitaani na kwenye fukwe za baharini
Mambo hayo ndiyo kanisa lilitakiwa kuwa jicho. Hakuna nabii kwenye Biblia aliye heka na mfalme mwovu.
Tanzania Assemblies of God, mmepotoka!
View attachment 1536928
Kama wanachofanya ni kujipendekeza Basi Mungu hua anaingilia kati lakini kama kweli wanachofanya kina baraka za Mungu basi hakika tuzo yao itapokelewa mpaka mbinguni.
Lakini labda hawayaoni Mateso makubwa wanayoyapata watanzania wenzao wanaofanya kazi zao za siasa kikatiba ukilinganisha na Raha, madaraka ,mamlaka, heshima, utukufu, enzi, nguvu, utajiri na kila sifa wanazopata wa upande wa Tuzo .
Mungu wa Elia yupo wapi??
Wamesahau kuwa utawala wa Mwinyi na Kikwete ndio ulioimarisha makanisa yaliyoitwa ya waasi Kwa kutoa Uhuru wa kuabudu.
Wakaulize kuhusu Muasisi wa makanisa ya kipentekoste ,Moses Kolola enzi hizo za Chama kimoja na adha kubwa aliyoipata kwa kuanzisha injili ya kupingana na makanisa makongwe akiyaita makanisa ya mapokeo na yeye akiyaita ya kwake kuwa ni ya kiroho.
Tupongeze lakini tujue wema na uzuri wa Demokrasia ili isije ikapotea mana hata ibada zitapangiwa cha kuhubiri Jumapili na Ijumaa mana adui wa Utawala wa mfumo wa Chama dola ni Dini zenye mtizamo wa kimaandiko .
Mkuu Wangu Nimeongelea umuhimu wa viongozi wote wa DINI katika BUSARA ZAO kuuweka mzani wa Mambo SAWIA.....Naona mnavyo gawanyika.. siasa waachieni kina bashite na lusinde.. hubirini injili.
Pengine mnampongeza kwa kuokoa sadaka zenu.