Haya makanisa ya kilokole na BAKWATA ni kama Kulwa na Dotto!Leo Mh Rais amepewa tuzo na kanisa ambalo enzi za Lina Lazaro na Mzee Klora lilikuwa ni kanisa ambalo lilitela matumaini.
Sipingi kumpa tuzo lakini naangalia hotuba ya Askofu mkuu Bwana Mtokambali kwa kuamua kuwa sehemu ya praise timu bila kuangazia mambo ambayo katika jamii yamezorota kuliko vipindi vyote vya urais wa nchi hii.
1. Watu kupigwa risasi
2. Watu kupotea
3. Kutekwa na kuteswa
4. Kuokotwa mitaani na kwenye fukwe za baharini
Mambo hayo ndiyo kanisa lilitakiwa kuwa jicho. Hakuna nabii kwenye Biblia aliye heka na mfalme mwovu.
Tanzania Assemblies of God, mmepotoka!
View attachment 1536928
Wachumia tumbo.....haya makanisa ya kilokole na BAKWATA ni kama Kulwa na Dotto!
TAG si ni wahuni kama wahuni wengine! Kama hawakuyaona haya, ni WAJINGA, WAPUUZILeo Mh Rais amepewa tuzo na kanisa ambalo enzi za Lina Lazaro na Mzee Klora lilikuwa ni kanisa ambalo lilitela matumaini.
Sipingi kumpa tuzo lakini naangalia hotuba ya Askofu mkuu Bwana Mtokambali kwa kuamua kuwa sehemu ya praise timu bila kuangazia mambo ambayo katika jamii yamezorota kuliko vipindi vyote vya urais wa nchi hii.
1. Watu kupigwa risasi
2. Watu kupotea
3. Kutekwa na kuteswa
4. Kuokotwa mitaani na kwenye fukwe za baharini
Mambo hayo ndiyo kanisa lilitakiwa kuwa jicho. Hakuna nabii kwenye Biblia aliye heka na mfalme mwovu.
Tanzania Assemblies of God, mmepotoka!
View attachment 1536928
Sasa wewe ulitaka maaskofu waongee nini?. Kama Kuna waumini ni victim wa utawala huu si wao! Makanisani kuna itikadi tofauti za kisiasa So maaskofu kusifia wala haliondoi hilo! Sema wewe ulitaka wapinge ili ufurahi na kuja haraka kuandika uzi humu?Kanisa lenu hilo litakuna kugawanyika.. kuna waumini ni victim wa utawala huu..
Nahamia Rc jpili mchungaji wangu wa TAG MGM nimeamua kuhamia Rc rasmi kuanzia jpili hii kwa helini na kanisa lenuLeo Mh Rais amepewa tuzo na kanisa ambalo enzi za Lina Lazaro na Mzee Klora lilikuwa ni kanisa ambalo lilitela matumaini.
Sipingi kumpa tuzo lakini naangalia hotuba ya Askofu mkuu Bwana Mtokambali kwa kuamua kuwa sehemu ya praise timu bila kuangazia mambo ambayo katika jamii yamezorota kuliko vipindi vyote vya urais wa nchi hii.
1. Watu kupigwa risasi
2. Watu kupotea
3. Kutekwa na kuteswa
4. Kuokotwa mitaani na kwenye fukwe za baharini
Mambo hayo ndiyo kanisa lilitakiwa kuwa jicho. Hakuna nabii kwenye Biblia aliye heka na mfalme mwovu.
Tanzania Assemblies of God, mmepotoka!
View attachment 1536928
Namaanisha hao wanena kwa lugha,mleta mada yuko sawa sawia
Hao ni vijana wa Ufipa wajinga. Wanafikiri waliwazalo wao ndio sahihi kuliko wengine. Wanatukana kila mtu mwenye mawazo tofauti halafu wanajiita akili kubwa. Dawa yao inachemka. Watainywa Oktoba 28!Mbona baadhi maaskofu wakiiponda serikali mnakuja haraka humu kuandika uzi!?.. Wengine wakisifia inakua nongwa!. Msitake kulazimisha kusikia mnayoyataka kusikia ninyi!.
Hao ni vijana wa Ufipa wajinga. Wanafikiri waliwazalo wao ndio sahihi kuliko wengine. Wanatukana kila mtu mwenye mawazo tofauti halafu wanajiita akili kubwa. Dawa yao inachemka. Watainywa Oktoba 28!
TUKUTANE OKTOBA 28!
Kuanzia Leo nimelihama kanisa Hilo.... Narudi FPCT au EAGTLeo Mh Rais amepewa tuzo na kanisa ambalo enzi za Lina Lazaro na Mzee Klora lilikuwa ni kanisa ambalo lilitela matumaini.
Sipingi kumpa tuzo lakini naangalia hotuba ya Askofu mkuu Bwana Mtokambali kwa kuamua kuwa sehemu ya praise timu bila kuangazia mambo ambayo katika jamii yamezorota kuliko vipindi vyote vya urais wa nchi hii.
1. Watu kupigwa risasi
2. Watu kupotea
3. Kutekwa na kuteswa
4. Kuokotwa mitaani na kwenye fukwe za baharini
Mambo hayo ndiyo kanisa lilitakiwa kuwa jicho. Hakuna nabii kwenye Biblia aliye heka na mfalme mwovu.
Tanzania Assemblies of God, mmepotoka!
View attachment 1536928
Kuanzia Leo nimelihama kanisa Hilo.... Narudi FPCT au EAGT
Uongozi wowote duniani unatoka kwa Mungu. Uongozi wa Rais Magufuli unatoka kwa Mungu. Kama wewe unafikiri uongozi unatoka Ubeleji, subiri uone.Kwa hiyo mmeamua kutumia makanisa kutakatisha udhalimu wenu?
Leo Mh Rais amepewa tuzo na kanisa ambalo enzi za Lina Lazaro na Mzee Klora lilikuwa ni kanisa ambalo lilitela matumaini.
Sipingi kumpa tuzo lakini naangalia hotuba ya Askofu mkuu Bwana Mtokambali kwa kuamua kuwa sehemu ya praise timu bila kuangazia mambo ambayo katika jamii yamezorota kuliko vipindi vyote vya urais wa nchi hii.
1. Watu kupigwa risasi
2. Watu kupotea
3. Kutekwa na kuteswa
4. Kuokotwa mitaani na kwenye fukwe za baharini
Mambo hayo ndiyo kanisa lilitakiwa kuwa jicho. Hakuna nabii kwenye Biblia aliye heka na mfalme mwovu.
Tanzania Assemblies of God, mmepotoka!
View attachment 1536928
Mbona wewe hujapotea? Jiulize halafu Itumie akili yako vemaWatu kupigwa risasi