Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,126
- 9,593
Hili swali najiuliza Sana, kama CHADEMA wangeamua kushiriki uchaguzi na hii bogus INEC je maandamano ya October 29, yangetokea?
Katika kitu kiliwaudhi Sana CCM ni Chadema kujitoa kushiriki kiini macho Cha uchaguzi. Matokeo yake kilichotokea tarehe 29 Kila mtu anakijua.
Je chaguzi zijazo like 2030, 2035 CCM watakubali Tena kuingia kwenye uchaguzi mkuu bila Chadema?
Karibu.