Kwenye kikosi cha air defence ipo hiyo unit ambayo ni wanajeshi wachache. Hatujafikia kuwa na kikosi kamili. Nadhani ni kwa sababu ya uhitaji pia kwa maana hatupigani.Kati ya vitu ambavyo wamarekani wanajivunia basi ni airborne rangers ..
Hawa jamaa hua wanatua uwanja wa vita kwa kutumia parachute ... Hii inasaidia hata kwa nyakati ambazo adui atakua amezuia njia za kuingilia uwanja wa vita mnashusha airborne divisions kwa parachute..
Kuna mwaka flani katika sherehe za uhuru niliona maafisa watatu wa JWTZ walitua na parachute uwanja wa taifa ..
Je hata sisi wa Tanzania Tuna Divisions Nzima Za Airborne au ni kama vile tu wanajeshi wachache wenye ufundi wa kutua na parachute..
Ahsante mkuuKulikuwepo na hiyo kozi miaka ya nyuma ila haikufanikiwa na kikosi chao kilikuwepo kule Zenji ila mwisho wa ilikuwa ni balaa kwa usalama wa nchi. Sasa ivi ni Commando's ndio wanapiga hiyo Airborne.
Kulikuwepo na hiyo kozi miaka ya nyuma ila haikufanikiwa na kikosi chao kilikuwepo kule Zenji ila mwisho wa ilikuwa ni balaa kwa usalama wa nchi. Sasa ivi ni Commando's ndio wanapiga hiyo Airborne.
Agenda ya huko ni nini hasa?Kwa anaetaka kujiunga group ya wasap ya jamiiintelligence aniinbox namba yake tuendelee kulisongesha na member wenzio
Mbona kule tupo kitambo almost watu mia,ajenda za hapa na kule ni hizohizoAgenda ya huko ni nini hasa?
Mkuu mnajadili nini hasa?Kwa anaetaka kujiunga group ya wasap ya jamiiintelligence aniinbox namba yake tuendelee kulisongesha na member wenzio
Kila kitu kijana wangu,kama hapa tuMkuu mnajadili nini hasa?
Kila kitu kijana wangu,kama hapa tu
Hivi kutopigana ndio tusijihami? Mbona Japan hawapigani na wanakikosi imaraKwenye kikosi cha air defence ipo hiyo unit ambayo ni wanajeshi wachache. Hatujafikia kuwa na kikosi kamili. Nadhani ni kwa sababu ya uhitaji pia kwa maana hatupigani.
Nimesema uhitaji sijasema kuwa na kikosi imara.Hivi kutopigana ndio tusijihami? Mbona Japan hawapigani na wanakikosi imara
Kama ulishuhudia pale taifa hao maofisa nadhani hata yule mc alisema hao ni baadhi tu kati ya wale wengi....maana yake ni kuwa kipo kikosi cha hao watuKati ya vitu ambavyo wamarekani wanajivunia basi ni airborne rangers ..
Hawa jamaa hua wanatua uwanja wa vita kwa kutumia parachute ... Hii inasaidia hata kwa nyakati ambazo adui atakua amezuia njia za kuingilia uwanja wa vita mnashusha airborne divisions kwa parachute..
Kuna mwaka flani katika sherehe za uhuru niliona maafisa watatu wa JWTZ walitua na parachute uwanja wa taifa ..
Je hata sisi wa Tanzania Tuna Divisions Nzima Za Airborne au ni kama vile tu wanajeshi wachache wenye ufundi wa kutua na parachute..
Yale maneno ya mc ukute ndio wale tu waliopo[emoji1] [emoji1] mc lazima asifieKama ulishuhudia pale taifa hao maofisa nadhani hata yule mc alisema hao ni baadhi tu kati ya wale wengi....maana yake ni kuwa kipo kikosi cha hao watu
Kama ulishuhudia pale taifa hao maofisa nadhani hata yule mc alisema hao ni baadhi tu kati ya wale wengi....maana yake ni kuwa kipo kikosi cha hao watu
Ni-pm namba yako nikucheck WhatsApp.Kila kitu kijana wangu,kama hapa tu