Itadumu tu, tena itadumu sana! wanaopinga wana mawazo finyu, au ndo wanaleta za dini zao kuogopa watamezwa na dini fulani, mawazo ya kizamani kabisa hayo...kwanini hakuna hata mwislam mmoja anayesapoti hii kitu, tufichue tu wajameni kwamba waislam kama wanavyohubiri kwenye radio zao wanaogopa ati watamezwa na wakristo kama itafikia siku moja ikawa federation just because kenya asilimia 90% ni wakristo na uganda asilimia 80%...Rwanda na Burundi ndo kabisaaa hata Idi al fitri wameanza kuadhimisha muda si mrefu, hawakuwa nayo kama taifa.
Usikurupuke bila facts, maneno ya hear-say tuwache vijiweni, hapa unadeal na great thinkers, si watoto wa chekechea unaowaletea cooked statistics, nani ka kwambia waisilamu hawataki hii federation? nani kakwambia kwamba 90% of Kenyans are Christians? Punguza udini, maybe you'll see things clearer.