Je, Jumatatu ni Public holiday?

mr chiz fulesh tel me again english the problem it climb earplane and ship not born here here are you hear me?

Thank you guys for your patience. WE COMMENTED WITH A TOUNGUE IN CHEEK I.E FOR FUN. TILL NEXT WEEKED. CHEERS N BYE
 
ekizactly, your correctly, and if u remember clean, one day before union fiesta, mr president put a medal of good union on mr warioba's shoulder and say he is a good person who protect ze union, so any person who will try to tantalize him will meet ze army fye fye fye!!
 
mi nilijua baba mkubwa atatangaza kuwa j3 ni public holiday kumbe wapi!
 

Tetete kazi ipo
 
Labda tupate viongozi ambao wamewahi kuishi, sio kusoma tu, mbele. Nchi za mbele watu wanapanga ratiba za kazi na biashara zao mwaka mzima in advance. Rais hawezi kulishtukiza Taifa eti "kesho sikukuu."

Mtu ana appointment ya mkutano Jumatatu, ana bajeti, tiketi na reservation ya hoteli kuondoka Jumanne, wewe unatangaza ghafla "kesho sikukuu." Afanyeje? Mtu ana appointment ya kuchukua conteiner bandarini Ijumaa wewe unatangaza Ijumaa sikukuu mpaka Jumanne, nani analipa gharama za ghafla za extra storage? Vipi kama ni bidhaa zinazoharibika zisipopokelewa na kutuzwa ipasavyo siku ile ile, hujazorotesha uchumi hapo?

Tunashindwa mambo mengi sana kwa sababu tunaendesha nchi yetu kiswahili swahili kama makuzi yetu yalivyo, hatuna ratiba.
 
nilipata habari zisizokua rasmi kwamba j3 ni public holiday, naomba kufahamishwa kwa taarifa za uhakuka juu ya hili.
Inawezekana mkuu lakini itategemea sana mwandamo wa mwezi.
 

Umenena jambo la msingi sana. Big Up!
 
Malipo duni ndo yanayofanya watu wapende mapumziko...wanaona hawapati malipo stahiri kwa kazi wanazofanya hivyo kwao bora kupumzika kuliko kwenda kazini. Tofauti na wenzenu, malipo yanakufanya upende kazi na wapo tayari kufanya kazi hata kwenye holidays.
 
Hee! Hii mada imerudi tena kuna mtu anaitwa bategereza people of many english nw yupo london atakuja
 
Inawezekana mkuu lakini itategemea san a mwandamo wa mwezi.

Hakuna cha mwandamo wa mwezi, siku izi kuna technolojia inayoweza kutambua mwandamo wa mwezi kwa zaidi ya miaka laki 10 ijayo.
Kolani inasema iwapo mtu atasafiri umbali wa km 82, basi asifunge, hii inatokana na mazingira yalivyokua yani usafiri wa ngamia. Siku izi unaweza tumia dk 20 kwenda huo umbali, je wasifunge?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…