Hebu ona jumamosi na Jumapili ni Mapumziko sawa na siku 104(52x2) ukiongeza na siku zingine za Mapumziko kama Idd siku 2 Pasaha Siku 1 X-mas 2,maulidi siku 1,Iddelhaji siku 1 ,mwakampya siku 1,Mapinduzi siku 1,Muunano siku 1,Mei mosi siku 1,sabasaba siku 1.Karume day siku 1,Nyerere day siki1.nane nane siku 1,Uhuru wa Tanganyika siku 1 sawa na siku16
Kwahiyo kwa mwaka mmoja wenye siku 365 Tanzania tunapumzika siku 120(104+16) na bado tunaomba tuongezewe siku za kupumzika?Hatuwezi kufika namna hii.