Je, Jumatatu ni Public holiday?

Je, Jumatatu ni Public holiday?

mume

Member
Joined
Nov 24, 2011
Posts
12
Reaction score
3
nilipata habari zisizokua rasmi kwamba j3 ni public holiday, naomba kufahamishwa kwa taarifa za uhakuka juu ya hili.
 
Itakua poa sana aisee ikiwa hivyo ,ngoja tuombe
 
Tafadhali naomba mnieleweshe maana sijaelewa...jumatatu ni public holiday kivipi??
 
Inawezekana ni public holiday manake sijaelewa kwa nini jana sitta wakati anaharisha bunge alisema tukutane jumanne na sio jumatatu. Mwenye taarifa atujuze pls.
 
Mleta mada yuk sahih kabisa kuuliza. Si mnakumbuk Zanzibar Shein alipotangaza mapumzik naye MKULU akakurupuka! Tanzania bwana,eti inarais mmoja!!
 
nimeliwaza hili jambo tangu iishe pasaka...
 
Back
Top Bottom