Je, John Magufuli ni kibaraka wa Raila Odinga?

Je, John Magufuli ni kibaraka wa Raila Odinga?

Raila na Magufuli wana urafiki wa karibu sana. Ila Raila asije akamuongezea Magufuli warafiki zake kina Yusuph Manji na Rostam Aziz.
attachment.php
 
Lete hizo facts kuondoa "inasemekana"

Fact ni kuwa wazazi wa Dr Magufuli ni wakulima tu wa kawaida ambao hawana connection yeyote na wazazi wa Raila Amolo Odinga.

Binafsi niliwahi kufika kwao kabisa na Magufuli back in 1995 kipindi ambapo ndo anagombea ubunge Chato.

As far as I used to read on papers about babake Raila, kuanzia uongozi wake kisiasa na utajiri aliokuwa nao...na kwa jinsi nilivyowaona wazazi wa Dr Magufuli, naweza kusema kabisa hakuna connection ya urafiki at all!

Naogopa kutoa maelezo kiundani zaidi nitakuwa revealed mimi ni nani...especially na watu wa mkoa wa Kagera ambao Chato zamani ilikuwa sehemu ya wilaya ya Biharamulo.

Kumbuka African friendship basis yake huwa ikoje...utanielewa.
Sorry if I offended you katika majibu yangu ya awali.
 
Raila na Magufuli wana urafiki wa karibu sana. Ila Raila asije akamuongezea Magufuli warafiki zake kina Yusuph Manji na Rostam Aziz.
attachment.php

Yaani hao magabacholi wakiamua hawashindwi kumteka wakamuingiza kwenye boti yao.

Unamkumbuka Benjamin Mkapa wa 1995 aliyejulikana Mr Clean? Nafikiri unaelewa nini kilimtokea...pesa inaushawishi mkubwa sana!
 
Back
Top Bottom