Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,769
- 25,048
- Thread starter
- #41
AiseeeWe mchawi?
AiseeeWe mchawi?
Basi sawa usijali 🤣🤣Wewe uliye mzoefu wa kutapeli nipeleke unapoona natapelika kirahisi🤣
UmejibiwaSasa maua hizo taarifa zote lengo lake nn sasa
Na nini hasa chanzo cha mawazo yako haya kama si uchawa tu!! Kwendra huko usituambukizie mamoderator wetu ujinga!!!1. Hujiungi bila kuweka namba ya simu yako.
2. Kuwa na picha yako halisi au kitambulisho cha nida.
3. Uweke malengo yako humu JF nini.
4. Uweke kazi yako halisi unayofanya naukidanganya huwezi kulog in au kucreate account tungekuwa tunasumbuana akili kweli kwa kejeli na matusi si watu wasingetongozana maana humu kuna sura ya wanyama wa aina mbali mbali wamejificha kwenye ID FEKI MIE hata niweje hata ningeweka postas za picha yangu kukusema vibaya nakusema na vurugu naanzisha
unamfariji sio ?Ingependeza sana.
Kha unahasira humu sio hasira uwe nayo kila mtu na mtazamo wake so lazima wataweka niombe wawekeNa nini hasa chanzo cha mawazo yako haya kama si uchawa tu!! Kwendra huko usituambukizie mamoderator wetu ujinga!!!
Hapana ni ukweli, mimi hata leo nipo tayari, tuishi kiuhalisia siyo kiunafik.unamfariji sio ?