Je Jesca Magufuli ni nani?

Je Jesca Magufuli ni nani?

Kwa hao watanzania waliokupga hisan me naomba unitoe kwakuwa sio miongon mwao
 
Screenshot_20250430-225517_X.jpg
 
Jesca ni mtoto maarufu wa aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John pombe Magufuli (JPM).
 
Kwa hao watanzania waliokupga hisan me naomba unitoe kwakuwa sio miongon mwao
ndio maana sikusema watanzania nilisema mtanzania...nikijua watatokea vilaza wasioelewa
 

Tumeona vipande vya Mahojiano kati ya mwandishi Millard Ayo na Mtoto wa aliyewahi kuwa kiongozi Mkuu nchini.

Jambo hili ni la kipekee na kihistoria nchini.

Humu jamvini na mtandaoni tuliwahi kumtaja au kumjadili Jesca Magufuli wakati wa uhai wa baba yake.
Yapo tuliyozusha au kuyasema bila ushahidi juu ya binti huyu.

Tumetumia sana a.k.a ya baba Jesca wakati tunamtaja Mhe .Rais hayati John Pombe Magufuli.




ni wakati wa kumjadili kwa haki !!
je Jesca Magufuli ni nani?

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Sisi tuliojenga na kuwekeza Chato mimi nikiwa Rubambangwe, Jesca ndio mrithi wa Mh. Kamani. Na Mh. Kamani ndiye atakayekuwa Kampeni Meneja wa Jesca!
 
Back
Top Bottom