funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 38,534
- 31,198
Tumeona vipande vya Mahojiano kati ya mwandishi Millard Ayo na Mtoto wa aliyewahi kuwa kiongozi Mkuu nchini.
Jambo hili ni la kipekee na kihistoria nchini.
Humu jamvini na mtandaoni tuliwahi kumtaja au kumjadili Jesca Magufuli wakati wa uhai wa baba yake.
Yapo tuliyozusha au kuyasema bila ushahidi juu ya binti huyu.
Tumetumia sana a.k.a ya baba Jesca wakati tunamtaja Mhe .Rais hayati John Pombe Magufuli.
Miaka Minne bila Magufuli
Tutakukumbuka daima Baba. 1.SGR ( Dar-Moro-Dom-Dar), 2. Mwl Nyerere HEP, 3. ATC, 4. Rushwa (imerudi upya).
Jesca Magufuli amemtembelea Odinga ili kumtakia heri katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC)
Jesca ilitakiwa arithi mikoba ya baba yake ili kuendeleza uzalendo wa baba yake Kwa kuwa mtoto wa nyoka ni nyoka.Naamini tusingekuwa na mamikopo ya ajabuajabu kama alivyosema mzalendo ndugai we have ninety eight trillion of debt under tyrant regime of lice mother.its not fair.
Jesca Magufuli achangia Ujenzi Nyumba ya Katibu UVCCM Wilaya ya Chato. Asisitiza Kumuenzi Hayati Magufuli
Jesica, hasara iliyoletwa nyumbani kwenu ilisababishwa na hao unao wachangia fedha. Kuwa mwaangalifu
ni wakati wa kumjadili kwa haki !!
je Jesca Magufuli ni nani?
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!