Jamani sikuhizi hii ITV nimekua siielewi, wanakipindi chao kinaitwa MALUMBANO YA HOJA ambacho mada inasema PILISI KUUA RAIA KWA SILAHA ZA MOTO WAKITAWANYA MAANDAMANO,JE WANAHESHIMU NA KULINDA HAKI ZA RAIA? cha ajabu hapa naona kunamtangazaji anaitwa SALUM Mkambala anawapangia wachangiaji waseme nini, halafu wamealika maafisa kadhaa wa polisi wanaowatisha watu eti wasijadili suala lililopo mahakamani, sasa hapa watu watachangia nn?, na kama suala lipo mahakamani kwa nini wanaleta mada kama hizi?
Weledi hebu nijuzeni kama hiki kituo kimenunuliwa ili kitete udhalimu.
Weledi hebu nijuzeni kama hiki kituo kimenunuliwa ili kitete udhalimu.