Je, ITV ni Huru ama inatumiwa na wanasiasa?

acha kupotosha wewe kila mtu anaangalia kipindi.Dua la vinega hilo...
Ndugu zangu nimesikitika sana, kipindi kimejaa mamuluki tupu.. Sijui imekuwaje ni coincidens au?? Kuna mtu anasema eti wengi wanaoandama ni wahuni hawana kazi.. Daah nimesikitika sana kwahiyo wahuni siyo watanzania? Kwahiyo polisi wanaruhusiwa kuua raia is it?? Watanzania tunakoelekea siko kabisa!
Mmoja anasema eti vijana wanatumika kisiasa daah! Hivi mtu ambaye anayeandama bila silaha anawezaje kumuua polisi, nchi zilizoendelea watu hawaandamani? Mbona mauaji hayatokei kama sisi huku!!
Siku moja yatatimia tu, nani asiyejua jinsi jeshi letu linavyotumika kwa maslahi ya serikali!!
Any way.. Acha watuue... Ukombozi utakuja tu
 
Jamaa anasema eti wanaharakati wanatumika, lengo ni kumchafua kikwete na serikali yake... daaha mamuluki tupu.. nduguzangu inasikitisha tena ni kijana kabisa huyu.. hivi hawa polisi wangekuwa wanafanya kazi mafisadi, rusha za epa, kagoda, majambazi wa uchumi wetu wangetoka wapi?? Polisi wao ni nani waue watu??
 
Hapa hakuna mamluki wala nini,huo ndio ukweli wenyewe!mimi leo ndio nimepata ukweli wa mambo!
 
kuna mchangiaji mmoja kamaliza kuchangia anasema wanaharakati wanataka watu waandamane ili wapige picha wapeleke kwa wafadhili wapewe pesa, pia jamaa anasema wanataka kumchafua kikwete lakini kikwete ni mtu safi sana na polisi wanafanya kazi nzuri sana waendelee hivyohivyo. Namfahamu sana huyu hostazi yuko mitaa ya mabibo hostel.
 
Ngoja nielekee bar, hii TV naona sikuhizi inaganga njaa, kuna kajamaa kamevaa miwani nadhani pumba zake zimesababisha nipoteze uvumilivu ngoja nikanywe kiroba.

Duh nimeipenda hii mkuu ila angalia usijioverdose maana shughuli ya viroba siyo ndogo. Ukweli ni kwamba inaonekana polisi walipewa hii mada kitambo hivyo wakajiandaa na wamekuja humo ndani na tai zao za mtumba kutetea maovu yao wakati ukweli ni kwamba kati ya watanzania walioajiriwa na serikali hii wanaoishi maisha ya kuunga unga sa super glue ni hawa jamaa ila kwa vile wanapenda kudanganywa na kwa kusifiwa na wanasiasa wahuni basi ndio hapo balaa linapoanzia. La pili ni elimu zao,polisi wengi ni form four na six failures so hawana option katika maisha wengi wao walikuwa wavuta bangi tu shule lazima watumike tu!
 
mimi siwezi kureport yaani kipindi kinabore kimejaa mamuliki mithili ya kibonde
watu wamepandikizwa lakini this does not work kwa watanzania wa sasa
 
sio kama vile wametumwa ni wazi wachangiaji wamealikwa kwa makusudi ya kutetea polisi. Karibu wachangiaji wote wanatetea polisi.
 
dah...leo nasikia kichefuchefu kabisa...hawa watu wenye kulipamba jeshi la polisi wamelipwa nini? itv imeniharibia kabisa kabisa usiku wangu...!
 
Bora mimi niko zangu mkoani kikazi,itv kushika ni issue maana wangeniharibia siku yangu,hapa nakula sky news tu!ila itv wameshajishushia credibility watakua sawa na tbc tu sasa
 
yaaani watu wanoongea wamevaa nguo wa kiraia lakini SURA ZAO NYEUSI SANA
WANAONGEA KWA NGUVU Hawa wataukuwa police wameweka makadeti yao chini
 
Back
Top Bottom