Je, issue ya Masanja imeletwa kimkakati kututoa kwenye mjadala wa Trilioni 360?

Nchi ya DANGANYIKA lolote linaweza kutokea ila taarifa ya leo kutoka kwa j4 Muliro imemaliza utata,Jausi Steven amekufa kweli na alijinyonga hence Mke wa Baba mchungaji ameliwa pasipo na shaka.
 
Nchi hii inaendeshwa na rimoti na watu fulani.
Kila mara inapotokea issue yenye maslahi mapana kwa raia, na washika remote hawataki tuijue au tuijadili basi kwa gharama yoyote ile watatuletea tukio la kutupoteza maboya.

Kipindi cha kasha ya Epa akaibuliwa Babu wa Loliondo, akapewa promo hadi nje ya nchi. Viongozi wazitowazito wakamiminika Loliondo kupiga kikombe.

Kikombe cha ajabu chenye kutibu magonjwa yote. Una unene uliopitiliza, piga kikombe. Una utapiamlo weee piga kikombe.

Nchi hii haishiwi maajabu
Yan serikal ipoteze resources kisa kuwatoa watu ambao ni msikule ambayo hata uitekenye vp haifany chochote. Hahahaha. Mmepigwa mitozo kama lak8 hiv. Kimyaaa.... Ndo et had watengeneze stor yakuziba hzo 360.. hata zipigwe trilion 1000.. wa Tz watakaa kimya tu hahah
 
Kwenu misukule si ndio haohao kesho huwa viongozi? Au viongozi wanatoka sayari gani?
 
Nchi hii inaendeshwa na rimoti na watu fulani.
Kila mara inapotokea issue yenye maslahi mapana kwa raia, na washika remote hawataki tuijue au tuijadili basi kwa gharama yoyote ile watatuletea tukio la kutupoteza maboya.

Kipindi cha kasha ya Epa akaibuliwa Babu wa Loliondo, akapewa promo hadi nje ya nchi. Viongozi wazitowazito wakamiminika Loliondo kupiga kikombe.

Kikombe cha ajabu chenye kutibu magonjwa yote. Una unene uliopitiliza, piga kikombe. Una utapiamlo weee piga kikombe.

Nchi hii haishiwi maajabu
Wamepata nafasi ya kupumua
 
Vyote tutavijadili Tril 360 na Mtu kuliwa Uroda hawana uwezo wa kututoa tuna Akili kubwa
 
Back
Top Bottom