Tutaliweka apo bandarini tuwatishie nalo nyau majirani tu wambie tuna waona na mzigo upo full locked and loaded😂Mkuu hata USA wakitupa bure, running cost hatuwezi, zinatumia nuclear.
Tutaliweka apo bandarini tuwatishie nalo nyau majirani tu wambie tuna waona na mzigo upo full locked and loaded😂
Thanks Mkuu
Well said mkuu.....Maelezo yakina umeyatoa binafsi nilikuwaga najiuliza kwanini Syria ni uwanja wa vita na sehemu ya kujaribishia silaha na hata eneo lakutunishiana vifua, kingine ni suala la marekani na nuclear ya Iran
Au sio sinaona Trump aliwatisha north Korea 'All options are on the table' akalisogeza! Rocket man akapandisha naye mzuka akapitisha pipa lake juu kabisa likaenda kuangukia bahari ya Japan
Sasa sababu za kiusalama si ndo kufail kwenyewe boss ..au ulihisi nchi mbili zilipoteza pesa muda na raailimali nyinginezo ili ndege ije isimamishwe kwa sababu za kiusalama???Concord ilisimamishwa kwa sababu.za.kiusalama kama ile ndege iliyoua Ethiopia na Philippines ilivyosimamishwa nothing else
Sent using Jamii Forums mobile app
Fact zipi? Nyie ndo wapumbavu mnaoaminishwa ujinga hiv jiulize kati ya huyu mleta mada na mtengeneza hizo silaha nani anajua kuliko mwenzie? Unafikir hao waliotengeneza hizo silaha za mabilioni hawakujua kama kuna upande wa pili?....wa kujilinda? Umekaa zako madale huko ushavimbiwa ugali wako na siki unaungaunga mkono vitu vya kijinga rubbishmtu kaja na fact wewe umekuja na mapovu ya kufulia nguo za ccm
Kuna mijitu mivivu ya kusoma basi inaona jamaa anajua sana kumbe full fix akibisha why concorde ilipumzishwa basi aingie hapa...Concord ilisimamishwa kwa sababu.za.kiusalama kama ile ndege iliyoua Ethiopia na Philippines ilivyosimamishwa nothing else
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpishi anapika chakula halafu kuna mtu anatokea kwa ajili ya kuonja, aliye onja anasema chakula si kitamu na kimekosewa kupikwa, anatokea mtu mwingine na kumwambia muonjaji "kati yako na mpishi nani anajua kupika, ina maana wewe unajua kupika kuliko mpishi"?Fact zipi? Nyie ndo wapumbavu mnaoaminishwa ujinga hiv jiulize kati ya huyu mleta mada na mtengeneza hizo silaha nani anajua kuliko mwenzie? Unafikir hao waliotengeneza hizo silaha za mabilioni hawakujua kama kuna upande wa pili?....wa kujilinda? Umekaa zako madale huko ushavimbiwa ugali wako na siki unaungaunga mkono vitu vya kijinga rubbish
So whats your point?Kuna mijitu mivivu ya kusoma basi inaona jamaa anajua sana kumbe full fix akibisha why concorde ilipumzishwa basi aingie hapa...
A look at why Concorde stopped flying
CONCORDE was the supersonic passenger jet considered the ultimate luxury in air travel. Here’s all you need to know about the legendary plane, which was retired after 50,000 flights. When…www.thesun.co.uk
PipaAu sio sinaona Trump aliwatisha north Korea 'All options are on the table' akalisogeza! Rocket man akapandisha naye mzuka akapitisha pipa lake juu kabisa likaenda kuangukia bahari ya Japan
Huyu pitia michango yake utamjua vizuri. Ni mmoja wa Ma Ayatollah hivyo vingine vumilia tu hata kama uongo umezidi.Baada ya kufika aya hii nikaona nisiendelee kusoma huu uzi
Katia chumvi mpaka mboga hailikiHuyu pitia michango yake utamjua vizuri. Ni mmoja wa Ma Ayatollah hivyo vingine vumilia tu hata kama uongo umezidi.
Semanyie mnaojua mngekua mnasema wapi kadanganya ili na sisi tujifunze ingekua poa sanaKatia chumvi mpaka mboga hailiki
Pinga hoja kwa hoja, povu halisaidii mkuu.Fact zipi? Nyie ndo wapumbavu mnaoaminishwa ujinga hiv jiulize kati ya huyu mleta mada na mtengeneza hizo silaha nani anajua kuliko mwenzie? Unafikir hao waliotengeneza hizo silaha za mabilioni hawakujua kama kuna upande wa pili?....wa kujilinda? Umekaa zako madale huko ushavimbiwa ugali wako na siki unaungaunga mkono vitu vya kijinga rubbish