Je, Iran inaweza kugeuza Aircraft Carrier za USA kuwa Shipwreck?

Kuna mijitu mivivu ya kusoma basi inaona jamaa anajua sana kumbe full fix akibisha why concorde ilipumzishwa basi aingie hapa...
Waarabu wanapeana.moyo sana Iran kila siku wanasayansi wake wanauawa na anajua nani muhusika ila hachukui hatua yoyote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pinga hoja kwa hoja, povu halisaidii mkuu.

Ebu tuambie kwanini unazani aircraft carrier ya USA haiwezi kuzamishwa na IRAN?

Tunasubiria hoja sio pumba, karibu mkuu.
Hivi zipo ngapi around Iran? Ashawahi hata kujaribu kuzitungua. Suleiman alivyotunguliwa kwann hakuzisaka azipige badala yake akarusha mabomu hewani kudanganya kalipa kisasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa utakuwa ni uchokozi na ukorofi ambao hauna maana, umeuza mali, deal done.
Kama kukitokea mvutano mkali, wanaweza kulimaliza hili suala kidiplomasia kama kuwaambia wanachi wa Alaska wapige kura kuwa chini ya Russia au USA.
Sio kila jambo ni vita tu.

USA mwenyewe amekuwa mjanja siku hizi, ubabe wake ni kwenye sanctions tu, ikitokea noma anaita na chama lake la NATO.

Israel na wenyewe ni wazee wa kuvizia tu, Soleiman ni mkono wa Israel kwa mwavuli wa USA.

Ipo hivi, Soleiman sio mara ya kwanza kujiachia alishakataa kusafiri kwa ndege za kijeshi na kusafiri kwa ndege za kawaida za abiria kwenda Iraq, hio ni kuonyesha jinsi alivyokuwa akikubalika na jinsi watu walivyokuwa wanampenda, pia ni ujumbe kwamba haogopi kufa na yeye ni mtu wakawaida kama walivyo watu wengine.


Alikuwa anakwenda kukutana na naibu waziri pale Iraq, ujio wake ulikuwa sio wa kujificha kwani magazeti mengi tu Baghdad yaliandika kuhusiana na ujio wake. Kwa hio alikuwa katika shughuli za kiserikali na sio kwenda vitani.

Huyo sio kama Trump, ni general kweli na hata kwenye vita na ISIS alikuwa sio mtu wa kujificha kwenye nyumba yenye vioo bullet proof na gari inayoweza kuzuia mabomu, kusafiri kwa ndege inasindikizwa na ndege za ulinzi huku unatoa order.

Kuhusu Iran kurusha rocket ni kuwaonyesha USA kwamba base zake pale middle East zinaweza kuwa targeted vyema kabisa na kwa accuracy ya hali ya juu hata kama kuna defense systems.

Iran walifanya hilo jambo kwa umakini sana ili wasiue mtu, katika diplomasia za kimataifa hilo lipo kabisa, unamshambulia mtu pasipo kuua watu.
Pakistan alisha shambulia kwa ndege kwenye ardhi ya India pasipo kuua mtu,
USA alisha shambulia Syria mara 3 pasipo kuua mtu.

USA alivunja sheria, ndio maana Iran walifungua mashitaka, Inapaswa wewe ndio uangalie kwa upana kwa nini USA hakujibu? wakati waliahidi any response toka Iran itapelekea vita kamili.

Lakini badala yake mchezo ukabadilika Iran ndio wakasema any response itapelekea mashariki ya kati kuwaka moto.

Na walipokuja kumuua Fakhrizadeh nani kajitangaza? badala yake USA kapeleka carrier zake gulf kwa uoga.
Unajisahaulisha kuwa Iran ilitungua ndege ya abiria civilian aircraft?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yana ulinzi ndio ila ulizi wake haiakikishii usalama wake.
Huo ulinzi wa hali juu mbona umeshidwa kuziona drone Iran zinazo yapiga picha kila kukicha?
Mpaka drone kwenda kwa juu namna ile tayari usalama upo matatani.
 
Iko hiv carrier unayoiona sio rahisi kuishambulia kizembe kama unavyodhani ina mitambo mingi ya kujilinda dhidi ya adui ina mitambo ya kuzuia makombora na ina mitambo ya kutoa tahadhar ya hatar inayoisogelea na isitoshe hiyo carrier huwa haitembei peke yake hata siku mmoja inatembea na zaidi ya destroyer 8 mpaka 10 kulingana na inapoenda(CARRIER STRIKE GROUP) zenye uwezo wa hali juu wa kushambulia target tofautitouti na kwa umbali mkumbwa kabla ya kulifikia hilo carrier tena katika msafara huo ipo mpaka submarine yenye uwezo wa kushambulia popote duniani(ballistic missile) .... Hiv mkuu hata wewe kwa akili ya kawaida hiv inawezakana carrier ya gharama likatembea bila ulinzi wowote tena karibu kabisa na maadui?

Picha chini nimeweka misafara zaidi ya 5 za carrier tofautitouti ikionyesha ikiwa na ulinzi mzito na namna carrier inavyolindwaView attachment 1683679View attachment 1683678View attachment 1683680View attachment 1683681View attachment 1683682View attachment 1683683View attachment 1683686View attachment 1683684View attachment 1683685
Mkuu labda niongee kwa ufupi sana.

Hizo defense system hata kule Iraq kwenye base za USA zilikuwepo.

Basi tufanye hizo cruiser, destroyers na carrier zipo alerted kuna missile inakuja, wanawezaje ku intercept hypersonic missile?

Hypersonic haizuiliki mkuu, inakupiga tu, hata kama bahati ikiwa kwao wakaweka object kwenye njia ya hypersonic missile, Iran wana missiles inakuja moja halafu kwenda kupiga target yanajigawa(cluster war head).

Hizo cluster warhead ndio walitumia kule Iraq.
 
Allahu Akbar
JamiiForums-1105005609.jpg
 
Ni kweli aliiuza lkn Kama huna taharifa huko urusi miaka nenda Rudi wameanzisha mjadala namna ya kulikomboa Jimbo hilo iwe kwa mazungumzo au kwa Vita lkn mpaka leo mipango imeishia kwenye makalatasi tu
Brother achana kabisa na wale jamaa wa kuitwa WARUSI, tupige kelele we ila linapokuja swala la sintofahamu kati ya USA na URUSI basi ukaa meza moja na kutatua tofauti zao, wala hakuna kati yao wa kusema kuwa tuanzishe vita.

Alaska imeuzwa muda tu wala uwezi kumsikia mkubwa Putin akiliongelea maana mikataba ipo wazi, ukichukua kwa nguvu basi tegemea kulipa mabilioni ya pesa kwa sheria ya mikataba ya kimataifa.

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
 
Hao waajemi una wa overate tu labda size yao wapigane na Iraq au Kuwait sio usa Kwanza Wana science wao wa nuclear Kila kukicha Israel anawaondoa Kama kuku na hamna wanachokifanya Kama wao wanaume tungeshuhudia Israel ikigeuka vumbi

Ukweli ni kwamba hiyo nguvu unayotamba kwamba Iran inayo haina ni maboya tu Kama maboya wengine hapo middle East,
Is_Ir.PNG

Iran and Israel.

Israel ni nchi ndogo, nirudie tena ni nchi ndogo halafu imejaa kila aina ya taka taka ikiwemo silaha za maangamizi n.k

Mfano Israel kwenda kupiga vinu vya nuclear vya Iran, Iran haiwezi ikakaa kimya lazima wajibu.

Iran ikijibu mashariki ya kati inachafuka, nimeshasikia mara nyingi sana viongozi wa iran wakirudia hili neno "mashariki ya kati itawaka moto".
Israel hawawezi vita nyumbani, Israel hawezi vita vya muda mrefu.

Israel watashindwa kabisa totally kujipanga au kuhimili mapigo kwa muda mrefu, Iran wana proxies wa kutosha middle East.

F190417ASFF03-880x495.jpg

Tel Aviv

Mkuu hio vita usifikiri ni ile 6 days war, Israel walikuwa wanakwenda kuwapiga waarabu na ndege zao wakiwa jangwani wanafanya mazoezi ya kupasua matofali kwa mikono, Israel akarusha ndege, piga running way akaziachia mashimo, hakuna ndege kuruka, walipotawala anga tu, baaasi Irseal akashinda, sasa vita na Iran haipo hivyo.

Kuanzisha vita na Iran ni kuruhusu Hezbollah na Hamas kuingia Israel, Israel .
fc00fe37a99e600f7fb567feeb60d469.jpg

Hta serikali ya Israel inajua kabisa.
 
Licha ya uchumi wake mkubwa lakini Bado alichezea kichapo kule Vietnam na akachezea kichapo kule Cuba 😁😁😁😋
Kuhusu Vietnam kasome vizuri.

Cuba haikuvamiwa na utawala wa Marekani ila ilivamiwa na raia wao waliokuwa wakiishi uhamishoni walioungwa mkono na Marekani.
 
So whats your point?
Jaribu kufuatilia uzi vyema.
Nilichomaanisha kutolea mfano wa concorde ni jinsi walivyowekeza muda na pesa mwisho wa siku project ika buma.
Same na carriers, kutumia billions of dollars haimaanishi carrier haiwezi kuwa defeated, thats was my point.

Kipindi wana design concorde walijua wangeweza kukabiliana na kila changamoto, kumbe kuna changamoto walishindwa kuzitatua.

Same na carrier wameweka pesa nyingi lakini na zenyewe zinaweza kubuma pia, kuna silahakama hypersonic missiles kama Zircon, kama wataalamu wa mambo wanasema hypersonic haizuiliki na hakuna mfumo wowote duniani uliothibitishwa kuzuia hypersonic it means carrier its nothin kwa hypersonic.
Sasa tazama gharama ya hypersonic na gharama ya carrier twende sawa.

Concorde acha kusoma tu kwenye hizo blogs, nimetazama documentary, NAT GEO.
Tatizo la wanaJf wengi source yao kubwa ya taarifa Ni Google hasa wikipedia hapa ndo wanapofeli. Google huandika taarifa kwa ufupi Sana ama sometime kwa urefu lakini hazitoshelezi.
Hawasomi vitabu, hawaangalii makala za video..
 
Bahati mbaya silaha zao hazikuweza kumlinda kamanda wao kule Iraq, wakaishia kurusha vi rocket vyao,

Russia mpaka leo haamini Kama Alaska ni Mali ya USA japo ni Jimbo lake lakini hafikirii kutia pua kwenda kulichukua

USA ni habari nyingine.
Russia waliuza Jimbo lile, bila shAka Ni juzi kati 1914. Iweje walirudishe kwao?
Nguvu wanazo za kujaribu lakini wanaogopa maafa ya hili
 
Ni kweli aliiuza lkn Kama huna taharifa huko urusi miaka nenda Rudi wameanzisha mjadala namna ya kulikomboa Jimbo hilo iwe kwa mazungumzo au kwa Vita lkn mpaka leo mipango imeishia kwenye makalatasi tu
Ni Kama ambavyo NATO wanahangaika kwa mazugumzo ama wajaribu Vita kuukomboa Crimea kutoka Russia lakini wapi!
 
U mwandishi mzuri lakini nchi yenye nguvu zaidi kijeshi katika NATO baada ya US so Turkey .. Turkey Ni nchi yenye Askari wengi zaidi katika NATO baada ya Us . Na Turkey Ni nchi ya kwanza yenye Jeshi kubwa zaidi Ulaya
kweli mkuu, nilikosea. Turkey ni ya 4 baada ya USA, France na UK.
Thanks kwa masahihisho
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom