Je, Iran inaweza kugeuza Aircraft Carrier za USA kuwa Shipwreck?

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
11,821
2,000
Iran bora ahangaike na Israel Marekani hatomuweza. Maana sijui Irani akipigwa na yeye atakuwa akirusha Misille Washington au Ohio? au hasira zake atarusha rocket Saudia and Bahrin? maana hata hao Watakaoguswa na Iran hawatonyamaza lazima na wao mamchape ndipo vita itakuwa ngumu hasara atapata kubwa ikiwemo na Regime Change.
 
The Knowledge Seeker

JF-Expert Member
Apr 13, 2019
1,053
2,000
Maelezo yakina umeyatoa binafsi nilikuwaga najiuliza kwanini Syria ni uwanja wa vita na sehemu ya kujaribishia silaha na hata eneo lakutunishiana vifua, kingine ni suala la marekani na nuclear ya Iran
 
seanherms

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
500
500
Concord ilisimamishwa kwa sababu.za.kiusalama kama ile ndege iliyoua Ethiopia na Philippines ilivyosimamishwa nothing else

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa sababu za kiusalama si ndo kufail kwenyewe boss ..au ulihisi nchi mbili zilipoteza pesa muda na raailimali nyinginezo ili ndege ije isimamishwe kwa sababu za kiusalama???
 
MTOTO WA KUKU

JF-Expert Member
May 3, 2012
2,725
2,000
mtu kaja na fact wewe umekuja na mapovu ya kufulia nguo za ccm
Fact zipi? Nyie ndo wapumbavu mnaoaminishwa ujinga hiv jiulize kati ya huyu mleta mada na mtengeneza hizo silaha nani anajua kuliko mwenzie? Unafikir hao waliotengeneza hizo silaha za mabilioni hawakujua kama kuna upande wa pili?....wa kujilinda? Umekaa zako madale huko ushavimbiwa ugali wako na siki unaungaunga mkono vitu vya kijinga rubbish
 
MTOTO WA KUKU

JF-Expert Member
May 3, 2012
2,725
2,000
Concord ilisimamishwa kwa sababu.za.kiusalama kama ile ndege iliyoua Ethiopia na Philippines ilivyosimamishwa nothing else

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mijitu mivivu ya kusoma basi inaona jamaa anajua sana kumbe full fix akibisha why concorde ilipumzishwa basi aingie hapa...
 
mchichapori

JF-Expert Member
Aug 5, 2017
837
1,000
Fact zipi? Nyie ndo wapumbavu mnaoaminishwa ujinga hiv jiulize kati ya huyu mleta mada na mtengeneza hizo silaha nani anajua kuliko mwenzie? Unafikir hao waliotengeneza hizo silaha za mabilioni hawakujua kama kuna upande wa pili?....wa kujilinda? Umekaa zako madale huko ushavimbiwa ugali wako na siki unaungaunga mkono vitu vya kijinga rubbish
Mpishi anapika chakula halafu kuna mtu anatokea kwa ajili ya kuonja, aliye onja anasema chakula si kitamu na kimekosewa kupikwa, anatokea mtu mwingine na kumwambia muonjaji "kati yako na mpishi nani anajua kupika, ina maana wewe unajua kupika kuliko mpishi"?
Kumbe huyo mtu anayemwambia muonjaji hajui kitu kimoja kwamba, kuonja chakula na kufahamu kama ni kitamu au la haihitaji ujue kupika.

Tunapata feedback mitandaoni mkuu, moja wapo ni hiyo niliyoweka video kwenye huu uzi, jamaa aliyeshiriki designing ya ndege kama A-10 na F-16 akikosoa F-35, huyu mtu amefanya kazi Pentagon na amesomea hayo masuala, kwa nini nisimuamini?

Hata waliobuni ile stealth F-117(USA) iliyopigwa mwaka 1999 na S-125 kule Serbia waliibuni iwe stealth isionekane ili kujilinda, sasa kama S-300 haina capability ya kuona stealth, how comes S-125 ionadungua stealth?

kampuni za software zinabuni softwares kama adobe n.k kwa millions of dollars, kampuni za kutengeneza video games wanabuni gam,es kwa millions of dollars na miaka, lakini kuna hacker mmoja ambae yupo ndani na pc yake, ana hack kiulaini hilo game au software, watanzania wangapi tunatumia software za kununua? kama sio cracked.

Unafikiri kampuni za kutengeneza games na softwares hawajui kama kuna hackers wanaweza ku hack softwares zao? wanafahamu na wanajitahidi kuweka ulinzi lakini jinsi wanavyoweka ulinzi na hackers ndivyo jinsi wana umiza kichwa namna ya kudukua softwares hizo.

So the point is kutengeneza silaha za mabilioni haimaanishi kutodhibitiwa na silaha nyingine.......
Thanks
 
mchichapori

JF-Expert Member
Aug 5, 2017
837
1,000
Kuna mijitu mivivu ya kusoma basi inaona jamaa anajua sana kumbe full fix akibisha why concorde ilipumzishwa basi aingie hapa...
So whats your point?
Jaribu kufuatilia uzi vyema.
Nilichomaanisha kutolea mfano wa concorde ni jinsi walivyowekeza muda na pesa mwisho wa siku project ika buma.
Same na carriers, kutumia billions of dollars haimaanishi carrier haiwezi kuwa defeated, thats was my point.

Kipindi wana design concorde walijua wangeweza kukabiliana na kila changamoto, kumbe kuna changamoto walishindwa kuzitatua.

Same na carrier wameweka pesa nyingi lakini na zenyewe zinaweza kubuma pia, kuna silahakama hypersonic missiles kama Zircon, kama wataalamu wa mambo wanasema hypersonic haizuiliki na hakuna mfumo wowote duniani uliothibitishwa kuzuia hypersonic it means carrier its nothin kwa hypersonic.
Sasa tazama gharama ya hypersonic na gharama ya carrier twende sawa.

Concorde acha kusoma tu kwenye hizo blogs, nimetazama documentary, NAT GEO.
 
one wisow

JF-Expert Member
Sep 9, 2019
706
1,000
Fact zipi? Nyie ndo wapumbavu mnaoaminishwa ujinga hiv jiulize kati ya huyu mleta mada na mtengeneza hizo silaha nani anajua kuliko mwenzie? Unafikir hao waliotengeneza hizo silaha za mabilioni hawakujua kama kuna upande wa pili?....wa kujilinda? Umekaa zako madale huko ushavimbiwa ugali wako na siki unaungaunga mkono vitu vya kijinga rubbish
Pinga hoja kwa hoja, povu halisaidii mkuu.

Ebu tuambie kwanini unazani aircraft carrier ya USA haiwezi kuzamishwa na IRAN????

Tunasubiria hoja sio pumba, karibu mkuu.
 
othuman dan fodio

JF-Expert Member
Jan 2, 2018
2,223
2,000
Bahati mbaya silaha zao hazikuweza kumlinda kamanda wao kule Iraq, wakaishia kurusha vi rocket vyao,

Russia mpaka leo haamini Kama Alaska ni Mali ya USA japo ni Jimbo lake lakini hafikirii kutia pua kwenda kulichukua

USA ni habari nyingine.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom