fundi25
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 10,379
- 11,523
😂😂😂 mkuu kwemaPipa
😂😂😂 mkuu kwemaPipa
Kweli mkuu umeongea fact ila kwa hii elimu yetu ya kuchora crass hopper hapana na yakukaa unazeekea shule hapanaHakuna namna zaidi ya kuwekeza kwenye elimu
Hana hoja ye ni kutukana tu..Pinga hoja kwa hoja, povu halisaidii mkuu.
Ebu tuambie kwanini unazani aircraft carrier ya USA haiwezi kuzamishwa na IRAN????
Tunasubiria hoja sio pumba, karibu mkuu.
We unazungumzia Alaska, Alaska Russia waliiuza mwaka 1859 kama sikosei, waliiuza kwa USA.Bahati mbaya silaha zao hazikuweza kumlinda kamanda wao kule Iraq, wakaishia kurusha vi rocket vyao,
Russia mpaka leo haamini Kama Alaska ni Mali ya USA japo ni Jimbo lake lakini hafikirii kutia pua kwenda kulichukua
USA ni habari nyingine.
Hebu Soma kwamakin ulichokiandika,, kwahaya maandishi mtu mwenye akili ameshaelewa,Fact zipi? Nyie ndo wapumbavu mnaoaminishwa ujinga hiv jiulize kati ya huyu mleta mada na mtengeneza hizo silaha nani anajua kuliko mwenzie? Unafikir hao waliotengeneza hizo silaha za mabilioni hawakujua kama kuna upande wa pili?....wa kujilinda? Umekaa zako madale huko ushavimbiwa ugali wako na siki unaungaunga mkono vitu vya kijinga rubbish
Ni kweli aliiuza lkn Kama huna taharifa huko urusi miaka nenda Rudi wameanzisha mjadala namna ya kulikomboa Jimbo hilo iwe kwa mazungumzo au kwa Vita lkn mpaka leo mipango imeishia kwenye makalatasi tuWe unazungumzia Alaska, Alaska Russia waliiuza mwaka 1859 kama sikosei, waliiuza kwa USA.
Russia amejimilikisha sayari ya Venus, acha jimbo hilo la Alaska wao wamejimilikisha sayari kwamba ni ya kwao ..na wametangaza ni ya kwao.
Sasa utakuwa ni uchokozi na ukorofi ambao hauna maana, umeuza mali, deal done.Ni kweli aliiuza lkn Kama huna taharifa huko urusi miaka nenda Rudi wameanzisha mjadala namna ya kulikomboa Jimbo hilo iwe kwa mazungumzo au kwa Vita lkn mpaka leo mipango imeishia kwenye makalatasi tu
Ipo hivi, Soleiman sio mara ya kwanza kujiachia alishakataa kusafiri kwa ndege za kijeshi na kusafiri kwa ndege za kawaida za abiria kwenda Iraq, hio ni kuonyesha jinsi alivyokuwa akikubalika na jinsi watu walivyokuwa wanampenda, pia ni ujumbe kwamba haogopi kufa na yeye ni mtu wakawaida kama walivyo watu wengine.Bahati mbaya silaha zao hazikuweza kumlinda kamanda wao kule Iraq, wakaishia kurusha vi rocket vyao,
Sure mkuu.....
Sio za kimazingira?Concord ilisimamishwa kwa sababu.za.kiusalama kama ile ndege iliyoua Ethiopia na Philippines ilivyosimamishwa nothing else
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwema tu kakamkuu kwema
Iko hiv carrier unayoiona sio rahisi kuishambulia kizembe kama unavyodhani ina mitambo mingi ya kujilinda dhidi ya adui ina mitambo ya kuzuia makombora na ina mitambo ya kutoa tahadhar ya hatar inayoisogelea na isitoshe hiyo carrier huwa haitembei peke yake hata siku mmoja inatembea na zaidi ya destroyer 8 mpaka 10 kulingana na inapoenda(CARRIER STRIKE GROUP) zenye uwezo wa hali juu wa kushambulia target tofautitouti na kwa umbali mkumbwa kabla ya kulifikia hilo carrier tena katika msafara huo ipo mpaka submarine yenye uwezo wa kushambulia popote duniani(ballistic missile) .... Hiv mkuu hata wewe kwa akili ya kawaida hiv inawezakana carrier ya gharama likatembea bila ulinzi wowote tena karibu kabisa na maadui?Pinga hoja kwa hoja, povu halisaidii mkuu.
Ebu tuambie kwanini unazani aircraft carrier ya USA haiwezi kuzamishwa na IRAN????
Tunasubiria hoja sio pumba, karibu mkuu.
Iko hiv carrier unayoiona sio rahisi kuishambulia kizembe kama unavyodhani ina mitambo mingi ya kujilinda dhidi ya adui ina mitambo ya kuzuia makombora na ina mitambo ya kutoa tahadhar ya hatar inayoisogelea na isitoshe hiyo carrier huwa haitembei peke yake hata siku mmoja inatembea na zaidi ya destroyer 8 mpaka 10 kulingana na inapoenda(CARRIER STRIKE GROUP) zenye uwezo wa hali juu wa kushambulia target tofautitouti na kwa umbali mkumbwa kabla ya kulifikia hilo carrier tena katika msafara huo ipo mpaka submarine yenye uwezo wa kushambulia popote duniani(ballistic missile) .... Hiv mkuu hata wewe kwa akili ya kawaida hiv inawezakana carrier ya gharama likatembea bila ulinzi wowote tena karibu kabisa na maadui?Hana hoja ye ni kutukana tu..
😁😁😁😁Hizi carrier zinauzwa bei gani? Nataka nitoe order limoja niwe naenda na wana wangu baharini kula bata tu.
Serikali ya tz itakupa kesi ya uhujumu uchumi faster😁😁😁Bei ya uchumi wa kati mkuu unapita nalo pale Magogoni mpo chakari 😂😂
Umezikuza mno Urusi na Iran huku ukimpamba zaidi Putin.
Umejaribu kuidunisha USA kwa kuonyesha huenda akashindwa Vita japo ana silaha za gharama, hukuangalia uchumi wake mkubwa unavyoweza kuhimili Vita muda mrefu.
Israel nayo umeiweka kundi moja na hizbullah.
...anyway... shukrani kwa makala.
Advanced weapons ni silaha za gharama, F-35 ina gharama na ni advanced kwa sifa ilizonazo kuliko su-57 japo zote ni stealth aircraft, lakini kuwa na F-35 ndio kushinda vita?
Hapana, silaha ni bidhaa na watu wanafanya biashara.........biashara ni matangazo.
F-35 kwenye vita usifikiri ni sawa na testing za maabara.
Naweza kuongea mimi ukasema najuaje wakati hata sijawahi kuiona, ni kweli sijawahi kuiona lakini, kuna mzee mmoja anaitwa Pierre Sprey, huyu jamaa amesoma Yale universty masuala ya aeronautical engineering.
Licha ya kusoma hayo masuala amefanya kazi Pentagon, ameshiriki katika designing ya ndege vita F-16 na A-10, naweza kusema hizi ndege zina historia USA, na katika mashine ambazo walibuni hizi mashine zina heshima yake.
Kuna hii ndege inaitwa A-10, acha kabisa, ilibuniwa kufanya mission za close air-support, hii ni bunduki yenye mbawa, askari wa USA walikuwa wakiiona A-10 inakuja, wanaona ni kama malaika ametoka angani kuja kuwasaidia.
Sio kifaru wala gari hii mashine haiangalii, binafsi engineering ya A-10 sio mchezo. Uwezo wake wa kufanya maneuver sio mchezo.
A-10
Pierre Sprey anasema huwezi hata siku moja ku-design ndege ambayo itakuwa na uwezo wa kufanya mambo yote, ndege iwe na uwezo wa kufanya close air support, ndege ifanye air to air missions, ndege ya kurusha bombs, iwe stealth wakati huo huo ifanye electronic warfare, anasema its impossible.
Anasema huwezi kupata ndege ya namna hio mwisho wa siku utafeli tu, na hio ndio F-35 inayozungumziwa, anasema hata Mig-21 ile ya miaka ya 60 inaweza kuipiga F-35 vizuri tu.
Akaulizwa vipi kuhusu close air support F-35 ipo vipi, akasema hilo ndilo jambo la kuchekesha zaidi duniani, anasema kufanya close air support lazima uwe karibu na troops, uweze kufanya maneuver, pia kona za taratibu, pia ndege iwe imebeba bunduki kubwa kama A-10 na uweze kukaa katika hilo eneo kwa muda wa karibu masaa 6, je F-35 inaweza?
Nisaiongee sana tazama video yake ina dkk 10 tu.....
ndio maana nasema kuwa na silaha ambazo ni advanced wakati mwingine inakula kwako.......
Msikilize mzee kwa makini, mwishoni anasema hata radar iliyotengenezwa mwaka 1942 inaweza kuona stealth aircraft na amesema kabisa, stealth is scam.
Huyo ni Co designer wa F-16 na A-10.
Umeongea vitu viingi lakini kiushabiki sana....unaona waliotengeneza hizo carrier na hayo mandege ni wajinga sana kuliko wewe wa mtogole unaejifanya unajua hayo mambo wakati hata SMG tu hujawahi kuisogelea....huna unalolijua rubbish
Aaah! Hapo tuta vimbiana kama wame configure na mfumo wa kujilinda aaah.. kitawaka.. tuSerikali ya tz itakupa kesi ya uhujumu uchumi faster😁😁😁
Yana ulinzi ndio ila ulizi wake haiakikishii usalama wake.Iko hiv carrier unayoiona sio rahisi kuishambulia kizembe kama unavyodhani ina mitambo mingi ya kujilinda dhidi ya adui ina mitambo ya kuzuia makombora na ina mitambo ya kutoa tahadhar ya hatar inayoisogelea na isitoshe hiyo carrier huwa haitembei peke yake hata siku mmoja inatembea na zaidi ya destroyer 8 mpaka 10 kulingana na inapoenda(CARRIER STRIKE GROUP) zenye uwezo wa hali juu wa kushambulia target tofautitouti na kwa umbali mkumbwa kabla ya kulifikia hilo carrier tena katika msafara huo ipo mpaka submarine yenye uwezo wa kushambulia popote duniani(ballistic missile) .... Hiv mkuu hata wewe kwa akili ya kawaida hiv inawezakana carrier ya gharama likatembea bila ulinzi wowote tena karibu kabisa na maadui?
Picha chini nimeweka misafara zaidi ya 5 za carrier tofautitouti ikionyesha ikiwa na ulinzi mzito na namna carrier inavyolindwa
View attachment 1683646View attachment 1683650View attachment 1683652View attachment 1683651View attachment 1683653View attachment 1683656View attachment 1683654View attachment 1683655View attachment 1683657
Hao waajemi una wa overate tu labda size yao wapigane na Iraq au Kuwait sio usa Kwanza Wana science wao wa nuclear Kila kukicha Israel anawaondoa Kama kuku na hamna wanachokifanya Kama wao wanaume tungeshuhudia Israel ikigeuka vumbiSasa utakuwa ni uchokozi na ukorofi ambao hauna maana, umeuza mali, deal done.
Kama kukitokea mvutano mkali, wanaweza kulimaliza hili suala kidiplomasia kama kuwaambia wanachi wa Alaska wapige kura kuwa chini ya Russia au USA.
Sio kila jambo ni vita tu.
USA mwenyewe amekuwa mjanja siku hizi, ubabe wake ni kwenye sanctions tu, ikitokea noma anaita na chama lake la NATO.
Israel na wenyewe ni wazee wa kuvizia tu, Soleiman ni mkono wa Israel kwa mwavuli wa USA.
Ipo hivi, Soleiman sio mara ya kwanza kujiachia alishakataa kusafiri kwa ndege za kijeshi na kusafiri kwa ndege za kawaida za abiria kwenda Iraq, hio ni kuonyesha jinsi alivyokuwa akikubalika na jinsi watu walivyokuwa wanampenda, pia ni ujumbe kwamba haogopi kufa na yeye ni mtu wakawaida kama walivyo watu wengine.
Alikuwa anakwenda kukutana na naibu waziri pale Iraq, ujio wake ulikuwa sio wa kujificha kwani magazeti mengi tu Baghdad yaliandika kuhusiana na ujio wake. Kwa hio alikuwa katika shughuli za kiserikali na sio kwenda vitani.
Huyo sio kama Trump, ni general kweli na hata kwenye vita na ISIS alikuwa sio mtu wa kujificha kwenye nyumba yenye vioo bullet proof na gari inayoweza kuzuia mabomu, kusafiri kwa ndege inasindikizwa na ndege za ulinzi huku unatoa order.
Kuhusu Iran kurusha rocket ni kuwaonyesha USA kwamba base zake pale middle East zinaweza kuwa targeted vyema kabisa na kwa accuracy ya hali ya juu hata kama kuna defense systems.
Iran walifanya hilo jambo kwa umakini sana ili wasiue mtu, katika diplomasia za kimataifa hilo lipo kabisa, unamshambulia mtu pasipo kuua watu.
Pakistan alisha shambulia kwa ndege kwenye ardhi ya India pasipo kuua mtu,
USA alisha shambulia Syria mara 3 pasipo kuua mtu.
USA alivunja sheria, ndio maana Iran walifungua mashitaka, Inapaswa wewe ndio uangalie kwa upana kwa nini USA hakujibu? wakati waliahidi any response toka Iran itapelekea vita kamili.
Lakini badala yake mchezo ukabadilika Iran ndio wakasema any response itapelekea mashariki ya kati kuwaka moto.
Na walipokuja kumuua Fakhrizadeh nani kajitangaza? badala yake USA kapeleka carrier zake gulf kwa uoga.
Atari sana mkuu unapoweka na bendera nyekunduSerikali ya tz itakupa kesi ya uhujumu uchumi faster😁😁😁