Sasa utajulia wapi wakati ww ni mpumbavu na urokole umekujaa kichwani?
Hizo RPG za kirusi tutajie jina lake.
Urusi atengeneze RPG dhaifu kiasi hicho? Hamas wangekuwa na Ant tank za kirusi si gaza yote ingekuwa imejaa mavyuma chakavu na hakuna kifaru hata kimoja ambacho kingerudi Israel.
Watu wanakosea sana kwenye geopolitical set up ya middle east. Wanaamini kila Muarabu ni Muislamu na kila Muislamu ni Muarabu.
Nimepita Israel, Turkey na Iran na nimeshuhudia Waarabu ambao ni Wakristu. Uarabu ni "race" na Uislamu ni "dini". Ila 95+% ya middle east dini yao ni Uislamu.
Kwa hiyo nilikuwa namsahihisha aliyesema Iran ni Waarabu. WaIran ni Waajemi na dini yao ni Uislamu wa madhehebu ya Shia. Na lengo langu ni kumuondolea preconceived perception juu ya Waislamu.
Kidini mimi ni Mkristu wa madgehebu ya Roman Catholic, na nimehiji Israel na kuhudhuria misa ya Jumapili kwenye kanisa la Nazareth ambayo iliendeshwa kwa lugha ya Kiarabu.