Chifu mkuu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2025
- 846
- 884
Habari ja jioni wadau.
Kuna jambo nimejiuliza nikakosa majibu nikaona niwashirikishe wadau saa nyingine yupo mwenye uelewa akanisaidia kunielimisha.
Ni kuhusu tukio lililotokea siku za karibuni la mmoja wa walinzi wa mheshimiwa rais kushikwa na kizunguzungu na kulazimika kwenda kupumzika.
Ni kwamba pamoja na rais kuwa na walinzi lakini pia ana mlinzi maalumu (bodyguard) ambaye pia hujulikana kama MPAMBE WA RAIS (ADC) ambaye yeye huwa na sare za kijeshi ( japo mara kadhaa tumeona mh Rais anapokuwa msikitini MPAMBE wake huyu na yeye pia hupiga HIJABU YA KIISLAMU na upendeza sana akiwa ndani ya hijabu hadi nashawishika akistaafu huko 2035 nikajaribu bahati yangu ).
SASA SWALI LANGU ni kwamba lau tatizo la kizunguzungu lingemshika MPAMBE WA RAIS wangefanyaje au ni nani angeshika nafasi yake wakati muhusika anaenda kupumzika?!