Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,192
Katika masuala ambayo huwa siyaelewi ni hili. Huu ni mfano mmoja tu kuwa wanaume tunapitia mengi chini ya mapaa ya nyumba zetu wenyewe.
Wanaume wanaopigwa na wake zao sio wengi saana lakini wanaume wanaokuwa verbally, emotionally na psychologically abused/tortured na wanawake ni wengi saana lakini dunia huwa hailioni hili..cha zaidi Lina baraka.
Nakuhakikishieni leo Macroni angekuwa ndiye kamfanyia aliyofanyiwa na mke wake dunia nzima ingesimama kumwambia ajiuzulu...sijui Watu wa GBV wangeitana popote walipo kijana wa watu hakuna rangi angeacha kuona.
Pia soma > Video: Macron achapwa Kofi na mkewe mbele ya kamera. Je, huyu ndo wa kumtishia Putin?
Poleni wanaume mnaopitia madhila mbalimbali. Jikazeni hakuna wa kuwapigia kelele. Na nawahakikishieni baadhi ya wanawake wanapigwa kwasababu mwanaume anachemka miaka na miaka, anahifadhi manyanyaso... Kisha unaishia kupigwa.