Je, inawezekana kuweka Android 12 kwenye Galaxy Note 8?

PD_Magumba

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2021
Posts
721
Reaction score
2,228
Habari wana JF.

Naomba mwenye kujua kama inawezekana kuweka OS ya android 12 kwenye Galaxy Note 8 alternatively maana officially haiwezekani.

Faida na Hasara(Risk) za kufanya hivyo, Karibuni.

Chief-Mkwawa
 
Inategemea na model, refurb nyingi zina locked bootloader.
Cheki hapa kisha toa ushauri

Naona kuna bootloader hapo
Screenshot_20220502-095014.jpg
Screenshot_20220502-094945.jpg
Screenshot_20220502-094644_CPU-Z.jpg
 
Kama ni 950F hio ni international version, sema siku hizi usiangalie model hali ya kuwa simu ipo on,

Zima simu ingia download mode kuona model halisi.
Tafadhali nieleweshe huo utaalam mkuu, ni jambo jipya kwangu. Kwa hyo nizime simu kisha nitumie pc au simu nyingine? Au una maana ipi mkuu Chief-Mkwawa
 
Pitia hapa

Ukiwa download mode utaona model kwa juu kumeandikwa product name
 
Ahsante sana mkuu. Nimepitia, nikiwa karibu na pc nitaingia huko.

But assume ni 950F je naweza weka android 12?
 
Inawezekana mkuu, ila process zake utaziweza? Kuna kuunlock bootloader, kuweka custom recovery, process zengne zinahitaji utumie fastboot hizo process sio za kufanya mtu ambaye sio mtundu kwenye simu. Hapo itabidi pia uwe na official Rom (na hii official rom itabd uwe na binary Inayoendana na simu yako, la sivyo utatumia kiswaswadu kwa muda) incase mambo yameenda mrema. Kuliko kuhangaika ni bora uridhike tu na 9 Pie yako
 
Ahsante kwa tahadhali mkuu, naamini kama ni salama nitaweza. Lakini vipi hakuna hasara zozote pamoja na kwamba nitafanikisha vyema kuweka?? Call m3 Anwar
 
Inawezekana mkuu, ila process zake utaziweza? Kuna kuunlock bootloader, kuweka custom recovery, process zengne zinahitaji utumie fastboot hizo process sio za kufanya mtu ambaye sio mtundu kwenye simu. Hapo itabidi pia uwe na official Rom (na hii official rom itabd uwe na binary Inayoendana na simu yako, la sivyo utatumia kiswaswadu kwa muda) incase mambo yameenda mrema. Kuliko kuhangaika ni bora uridhike tu na 9 Pie yako
Kweli nilijikuta natumia kiswaswadu
 
Back
Top Bottom