Je inawezekana kutokea Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je inawezekana kutokea Tanzania?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TEMA, Dec 6, 2007.

 1. T

  TEMA Member

  #1
  Dec 6, 2007
  Joined: Oct 1, 2007
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nigeria: FG Blacklists Siemens, Cancels Contract

   
 2. M

  Mwafrika wa Kike JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2007
  Joined: Jul 5, 2007
  Messages: 5,194
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Yap,

  Hii inawezekana kabisa kutokea Tanzania.
  Ni suala tu la kuamua. Itachukua muda ila kizazi hiki cha wazee wa ccm wa sasa kikitoka madarakani, then next generation should get the monkey off the back!
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2007
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,602
  Trophy Points: 280

  Kizazi cha wapenda rushwa, wenye uroho wa utajiri wa haraka haraka, mafisadi na wenye kupenda kulindana. Je kitaondoka kweli maana sasa hivi wameshaanza kuwarithisha nyadhiha watoto wao, na mtoto wa paka siku zote hawezi kuwa panya!
   
Loading...