Je, inawezekana kuifanya route ikawa universal?

Je, inawezekana kuifanya route ikawa universal?

larrymeela

Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
69
Reaction score
32
Wakuu habari za saa hizi?

Naomba kwa yeyote mwenye ufahamu anisaidie, nina router ya kampuni ya Smile. Je kuna uwezekano wa kui manoeuvre itumike kwa mitandao mingine kuachana na smile, yani kama nikitaka kutumia line ya voda au TTCL isome?


IMG_20221027_081143.jpg
 
Back
Top Bottom