kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,526
- 8,033
Duuuuh, na Hakuna mfumo unaoweza kuonyesha kuwa IMEI ilikuwa imebadilishwa?
Unaweza kutambua kwa kuangalia imei ya ndan na ya nje..ukajua kama imechenjiwa.Duuuuh, na Hakuna mfumo unaoweza kuonyesha kuwa IMEI ilikuwa imebadilishwa?
Sent using Jamii Forums mobile app