Je, inawezekana kiinua Mgongo Kufika Mill 100 kwa wastaafu?

Kudaadeki kweli bongo maisha magumu, yani m100 miaka 33? Wkt hiyo ni annual income kwa kuosha vyombo majuu!


Anyway akaze na uticha tu
Hapo aluongelea tu kumbuka Tz wenye uelewa juu ya hifadhi ya jamii ni 3% kuna watu wamesjiriwa ila hawajui. Haiwezeka miaka 33 kiwango cha mshshara kikawa sawa na cha Leo hiyo itakuwa kiama.
Nalingine hata hawa tunao washabikia kwenda Magogoni tujue wanachangia matokeo ya maisha
Wengi hasa walimu ni wanachama ......
 
mzee wangu alistaafu kama afisa elimu wilaya......... mafao yake alilipwa milion 105 total.. mwaka jana.. alikaa serikalini for 40 years

hizi ajira hizi hazilipi sana kiivyo... tusiziendekeze sana...
Hakuwa mkuu wa idara kamili. Angetahili kuanzia 200m
 
Asante mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…