Je, inawezekana kiinua Mgongo Kufika Mill 100 kwa wastaafu?

Kudaadeki kweli bongo maisha magumu, yani m100 miaka 33? Wkt hiyo ni annual income kwa kuosha vyombo majuu!

Anyway akaze na uticha tu
Hapo aluongelea tu kumbuka Tz wenye uelewa juu ya hifadhi ya jamii ni 3% kuna watu wamesjiriwa ila hawajui. Haiwezeka miaka 33 kiwango cha mshshara kikawa sawa na cha Leo hiyo itakuwa kiama.
Nalingine hata hawa tunao washabikia kwenda Magogoni tujue wanachangia matokeo ya maisha
Wengi hasa walimu ni wanachama ......
 
mzee wangu alistaafu kama afisa elimu wilaya......... mafao yake alilipwa milion 105 total.. mwaka jana.. alikaa serikalini for 40 years

hizi ajira hizi hazilipi sana kiivyo... tusiziendekeze sana...
Hakuwa mkuu wa idara kamili. Angetahili kuanzia 200m
 
Nimesoma comment nyingi kuna baadhi wamenifurahisha kwani wamechangia kiuweredi na wengine ndo ivo.
Kwa Mwl. Tangu mwaka 2006 mishahara ilipanda toka 66,000/ hadi 345000/ mwaka 2013.
Hivyo kiinua mgongo kinategemea
1: muda wa kuchangi au kutumikia kazini
2: Mshahara wa mwisho
3: Kikotoo kitakacho tumika.
2014 June hawa wote watapata kiinua mgongo sawa na pensheni sawa kutoka mifuko yote ya hifadhi ya jamii baada ya SSRA kuweka marekebisho ya kuperekea matokeo hayo.
Nikija kwa Mwl ambaye ameanza kazi kwa kiwango cha mshahara B1 hadi mwisho bila kujiendeleza F na akijiendeleza kwa Diploma G na Degree H.
Kwa F mshahara utafikia 1,200,000/- hiyo kwa sasa km mkuru atarekebisha na kuboresha km Jk basi Neema huongezeka zaidi. Na km ngazi/madaraja yatabaki ila mishahara itaongezeka kumbuka hapo kuna vipindi 3 vya urais ambao ndio dira ya mishahara km itaongezeka uwezekano hata kufikisha 200M upo.na km PSPF watalipa zaidi ya 150M. Km kiinua mgongo na pensheni ya mwezi zaidi ya 900,000/ kila mwezi hadi kufa kwake na serikali kumlipia NHIF hadi kufa kwake
Asante mkuu
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom