Je,inaweza kuwa Rais Magufuli ndiye Mfalme Daudi wa kizazi cha sasa?

Miye sio mganga wa kienyeji lakini haina haja kuwaza saana kujua weye ndiye Bashite unatafuta kutajwa humu JF baada tu ya kuziriwa na vyombo vyote vya habari. Hii ni post ya ngapi leo tu ukimsifia huyo mtu? Sijui kujengwe mnara, sijui nini na sasa hii tena. Haya, nenda Kanisa la Roma mkamtangaze Mtakatifu zaidi ya yule Mwenye heri wenu.
 
Back
Top Bottom