Je, inajuzu haya kisheria?

Je, inajuzu haya kisheria?

Joined
Mar 21, 2024
Posts
16
Reaction score
10
Habari za majukumu wanafamilia wa JF. Mimi nilikuwa naomba ufafanuzi wa kisheria kwa dhati kabla sijaanza kufuata hatua zingine. Kuna kesi ya madai iliyosajiliwa mahakamani na ikatolewa uamuzi kuwa kesi imeisha na mdaiwa aliwekewa muda wa kulipa. Sasa kabla mdaiwa hajafikia ile siku ya kulipa deni mdeni wake aliamua kwenda kumfungulia kesi mdeni wake mkoa tofauti na mkoa anaoishi mdeni na mdaiwa. Mfano mdeni na mdaiwa ni wakazi wa mkoa wa Morogoro na mahakama ya Morogoro ilivyotoa hukumu ya malipo inaonekana mdeni hakuridhika, hivyo alienda kufungua kesi hiyo hiyo iliyokwishapatiwa shauri la mahakama mkoa Wa Dar es Salaam. Je, hii inajuzu kisheria? Na huyo mdaiwa anapaswa kusafiri kwenda mkoa mwingine kuitikia samaria ya mahakama?. Natumai mtanisaidia viongozi. Natanguliza shukran za dhati🙏
 
Back
Top Bottom