Babaake ALITEKWA mapema mwaka huu na jeshi la Polisi, mamaake amekutwa amefariki BAFUNI kwa kupigwa na risasi.Dhulma haijawai kudumu.
KMKM ndio nani?Wale wapigaji sijui walipewa nini huko.. Maana walichojua ni kulenga na kufyatua.. Na shabaha zao zilikuwa zimenyooka mno.. Majeruhi kidogo vifo vingi😭
Ukifika 2030 utakua sio muoga tena wa kuchangia kwa uliyoyaona tangu October 29Naogopa hata kuchangia
...Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo (Zanzibar)
Maeneo ya Kigogo...
Kuna nyumba Ina matundu 7 ya risasi....
Bahati nzuri hakuna madhara...
Jirani ndio Kuna madhara ya mtu kuvunjika bega...yupo Muhimbili...
Na ndugu wanahangaika atoke (maana walitonywa na wasamasia wema kwamba wakipata nafuu ni magereza Moja kwa Moja )maana majeruhi wengi wanaweza kufunguliwa kesi ya Uhaini ila walikuwa ndani ya nyumba
...Nchii imeshageuka ya kigaidi, mtu amepigwa risasi akiwa nyumbani amejeruhiwa halafu ashitakiwe uhaini, nchi hii nini kimeikumba?? Sababu ya urafi wa madaraka?? Nchi yetu inateketea na inateketezwa na kikundi cha watu wachache wanaojali matumbo yao ?
Kinachonisikitisha zaidi ni wale wagonjwa waliotolewa hospitali wakaenda kuwachoma kwenye tanuru la Wazo Hill wakiwa hai. Huu ukati hata Idd Amin Dada au Bokasa hawajawahi kuufanya lakini Idd Amin Mama amefanya. Nchi imelaaniwa hii.Kwamba zilikuwepo silaha mpya na wapigaji waliopewa kuzijaribu kwenye miili ya watu? Je ulikuwa ufundi, umahiri ama mashindano ya kulenga shabaha?
Je ilikuwa ni kamari ya kubashiri nani ataketekeza roho nyingi kwa wakati mmoja? Ama je kulikuwa na silaha zinzokaribia kuisha muda wake wa matumizi hivyo inabidi zitumike haraka kabla ya muda wake kutimia ili zisilete hasara?
Maana roho nyingi zisizo na hatia ziliteketea nje ya maandamano .. Ilikuwa kama mchezo wa kuwinda.. Watu waliviziwa mitaani na majumbani, vichochoroni na hata kwenye veranda za majumba
Ilikuwa ni killing spree..
Karamu ya risasi.. Na kwakweli hazikubagua maana hakuna kundi ambalo halina kilio mpaka sasa.. Zile risasi hazikumuacha yeyote salama..
Wale wapigaji sijui walipewa nini huko.. Maana walichojua ni kulenga na kufyatua.. Na shabaha zao zilikuwa zimenyooka mno.. Majeruhi kidogo vifo vingi😭
Kuna damu bado hazijakauka
Vidonda vingi bado vinavuja damu vingine usaha.. Kuna majereha yameanza kutoa harufu..
Kuna miili imeanza kutoa uvundo mkali
Ardhi ya Tanganyika imenajisiwa.. Damu inanuka kila kona..!View attachment 3498956
https://www.facebook.com/Kinachonisikitisha zaidi ni wale wagonjwa waliotolewa hispitali wakaenda kuwachoma kwenye tanuru la Wazo Hill wakiwa hai. Huu ukati hata Idd Amin Dada au Bokasa hawajawahi kuufanya lakini Idd Amin Mama amefanya. Nchi imelaaniwa hii.
Duuuh 😢😢😢Hapa alikuwa anatafutwa mmasai mmoja tu, dogo ana bahati sana mda wake haukuwa umefika. Three bullets aimed at one person, it was a mission to kill, kill innocent civilians, pedestrians, kids na hata miti maniner!!
View attachment 3498959View attachment 3498960View attachment 3498961
Hatari sana. Hata raia wa kigeni anaumizwa na mauaji ya kimbari lakini maCCM yanaona sawa tu!