Je huyu sio nzige?

Huyo Ni Panzi,
Wale Nzige Wa Katengeneza Hawafanani Na Huyo
 
Msiwataje taje nzige nyie. Wakija mtawaona na mtaomba tu msaada. Huyo hata kundi la panzi hayumo. Walikuja kwetu Tz wakati tunaupata uhuru wakaitwa "Nzige wa Uhuru" tuliwala sana hao japo hawakuwa wengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…